List of top universities & colleges in Tanzania 2011

List of top universities & colleges in Tanzania 2011

Tuache ushabiki kwa kuangalia tumesomea/tungesomea/tutasomea wapi
najua mtakubaliana na mimi kwamba UDOM Inapaswa iwe ya kwanza,UDSM Ya 2 n.k. kwa mnaosomea pale na ambao mnapafahamu UDOM hamnashaka mtakubariana na mm kwamba ukilinganisha ukubwa wa chuo kuanza na
1.wingi na thaman ya majengo
2.idadi na ubora wa wanafunzi wanaoingia na kuitimu
3.idadi na ubora
wa waadhiri
4.opportunities za degree course kwa kila college
5 just to mention but a few
hii nisawa nakuunganisha vyuo vyote vilivyo baki ukiondoa au kuiunganisha UDSM.

hii sasa ni bangi ya msasani,eti wingi wa wanafunzi na UBORA WAO.kichaa sana wewe!
 
Tuelimisheni tunaomaliza form six mwakani, manake tunasikia UDOM kipo juu katika maswala ya kompyuta! Chakushangaza hapa naona watu wanakiponda UDOM! Inakuaje hii? ? ? Tuwekeni wazi jamani mliopo huko juu.
 
kjana ucbabaike na jf, itakupotosha hii, we nenda kasome. Alwayz fallow u'r interest and not some one's. Wengi hukisemea mabaya kile chuo kutokana na ama hawakijui vizur/kufuata mkumbo/chuki binafsi/utani etc. But infact udom college of informatics is prepared to be the IT center in East Africa, na kama huamin take a day utembelee pale upaone then ulinganishe na chuo chochote tanzania ambacha ulisha fika utapata jibu nadhan mpaka hapo ushanielewa what am i tring to say. Hata mimi kabla sijapata upeo wa kutosha juu ya chuo kile, nilikuwa na perceptions mbaya sana juu yake ila baada ya vijana wa pale kuja kufanya field yao huku kazn kwetu (kutoka college of Earth science pale udom) na baada ya mimi mwenyewe kujfkia pale mwaka jana, ndiyo nilipogundu kumbe yote yasemwayo juu ya Udom na baadh ya watu kupaponda ni udharim m2pu.
 
tuelimisheni tunaomaliza form six mwakani, manake tunasikia udom kipo juu katika maswala ya kompyuta! Chakushangaza hapa naona watu wanakiponda udom! Inakuaje hii? ? ? Tuwekeni wazi jamani mliopo huko juu.

wanao ponda ni chuki binafsi, na hata hapo udom hawapajui zaidi ya kuona kwenye media.
 
kjana ucbabaike na jf, itakupotosha hii, we nenda kasome. Alwayz fallow u'r interest and not some one's. Wengi hukisemea mabaya kile chuo kutokana na ama hawakijui vizur/kufuata mkumbo/chuki binafsi/utani etc. But infact udom college of informatics is prepared to be the IT center in East Africa, na kama huamin take a day utembelee pale upaone then ulinganishe na chuo chochote tanzania ambacha ulisha fika utapata jibu nadhan mpaka hapo ushanielewa what am i tring to say. Hata mimi kabla sijapata upeo wa kutosha juu ya chuo kile, nilikuwa na perceptions mbaya sana juu yake ila baada ya vijana wa pale kuja kufanya field yao huku kazn kwetu (kutoka college of Earth science pale udom) na baada ya mimi mwenyewe kujfkia pale mwaka jana, ndiyo nilipogundu kumbe yote yasemwayo juu ya Udom na baadh ya watu kupaponda ni udharim m2pu.

Sawa nimekuelewa brother... Wewe unasoma wapi? Hivi faculty ya computer engineering na telecommunication eng. Ipi inasoko hapa tz?
 
mbona mie nimepata listi hii hapa!!!<a href="http://www.4icu.org/tz/">List of top Colleges & Universities in Tanzania - University Web Rankings</a>
 
Kwani kwenye chuo hiki cha kata UDOM kuna kudisco kweli?
mkuu ilikuwaje wewe ukaenda kusoma pale kabla hujadisco na ukaanzisha chuki zako zisizo na tija? Ujinga wako 2ondolee hapa.
 
Sawa nimekuelewa brother... Wewe unasoma wapi? Hivi faculty ya computer engineering na telecommunication eng. Ipi inasoko hapa tz?

Mimi nshamaliza degree yangu na wala sijasomea hapa nchin, ila nimefanya kaz hapa tz kwa mda mrefu sasa na hali halis ya hukumtaani naijua. Hzo kelelekelele za vijana wanazo pigizana saiz et chuo flan n bora na flan si bora nikwasababu tu bado wapo kwenye umri huo ngoja wakivuka hapo. Kuhusu telecom na mining eng ni coz ambazo soko lake kwa sasa linashuka kwa kasi sana, ila in comparison tu kati ya hizo mbili telecom ina uafadhali.
 
Ok, sasa we unanishauri vipi? Manake nilikuwa nataka kusemea upailoti alafu vyuo vyo upailoti hapa bongo hamna!
 
Ok, sasa we unanishauri vipi? Manake nilikuwa nataka kusemea upailoti alafu vyuo vyo upailoti hapa bongo hamna!

kama unataka kuwa pilot hapa bongo shart uingie jeshini..ukihtaji maelezo zaidi nitafute kwa muda wako.over
 
Chuo best ni SUA kitakuweka mbali na usharobaro, ulevi, uzembe, uzinzi, kubweteka na utapata discipline nzuri ya maisha, pamoja na mkopo 100% na facult allowance karibuni.
 
Link iliyotolewa pale juu na orodha iliyowekwa hapa haviendani kabisa. Kwenye top 100 in Africa nimeona UDSM na Hubert Kairuki tu!
 
Kifanyikacho hapa wadau ni hiki: Mzazi ana watoto wawili, mmoja kawa wa tatu na mwingine ni wa pili TOKA MWISHO katika mtihani. Halafu anaridhika kwa kuwa huyu wa tatu toka mwisho ni wa KWANZA NYUMBANI.

JE, MZAZI HUYU ANA BUSARA?

Hakuna hata chuo kimoja Afrika Mashariki nzima kwenye THE Top 400 World Universities 2011/12... Ya nini malumbano? Au ni katika kuthibitisha kuwa the competition is higher in the bottom of life pyramid than the top?

TAFAKARI.....CHUKUA HATUA
 
Mbona umesahau academic publications? Naikubali UDOM in long run but not now. Maana hata idadi ya wahadhiri wenye ubora bado hairidhishi na ndio maana wanaomaliza degree ya Accounts hawapati exemption kutoka NBAA kwa ajili ya CPA kama vyuo vingine.
Kwa sasa UDOM ipo kwenye infant stage, baada ya miaka michache na viongozi wakiacha siasa katika mambo ya academics, hiko chuo kitakuwa juu sana kaika huu ukanda wa kusini mwa Africa
 
Back
Top Bottom