Tuache ushabiki kwa kuangalia tumesomea/tungesomea/tutasomea wapi
najua mtakubaliana na mimi kwamba UDOM Inapaswa iwe ya kwanza,UDSM Ya 2 n.k. kwa mnaosomea pale na ambao mnapafahamu UDOM hamnashaka mtakubariana na mm kwamba ukilinganisha ukubwa wa chuo kuanza na
1.wingi na thaman ya majengo
2.idadi na ubora wa wanafunzi wanaoingia na kuitimu
3.idadi na ubora
wa waadhiri
4.opportunities za degree course kwa kila college
5 just to mention but a few
hii nisawa nakuunganisha vyuo vyote vilivyo baki ukiondoa au kuiunganisha UDSM.
hii sasa ni bangi ya msasani,eti wingi wa wanafunzi na UBORA WAO.kichaa sana wewe!