List: Wachezaji 10 Bora wa Mpira wa Miguu wa Muda Wote!

Hii list ni yako binafsi?? Umetumia vigezo gani kama ni list yako?? Avatar yako inaonyesha pia una bifu na CR7.
Ahahahaha umenichekesha Mkuu Mimi sina Beef na CR7 namkubali sana
 
Hahaha siku zote unapofanya makubwa ukiwa na umri mdogo kuliko wenzako unaopambanishwa nao unapewa heshima kubwa sana. Messi kafanya makubwa akiwa mdogo na bado ana chance ya kuendelea kufanya.
Mkuu hamna cha ajabu mesi alichokifanya. Yaan kwa miaka zaidi ya 28 hajabeba kombe la Nara lake wala kombe la dunia anaingiaje kwenye list hiyo?, hapo ndio nakosa imani na walioandaa list hiyo

Pia mtu kama ronaldinho anakosaje hapo?
 
Una Mawazo Mazuri Boss
 
Mkuu hamna cha ajabu mesi alichokifanya. Yaan kwa miaka zaidi ya 28 hajabeba kombe la Nara lake wala kombe la dunia anaingiaje kwenye list hiyo?, hapo ndio nakosa imani na walioandaa list hiyo

Pia mtu kama ronaldinho anakosaje hapo?
Mkuu Kama Hujaridhika na Maajabu aliyofanya Messi Katika Hii Dunia Basi hautoridhika Kamwe
 
Reactions: PNC
Hivi hawaoni aibu kumuweka messi mbele ya watu waliotwaa world cup Mara 3 wakati yeye hata kombe la America ya kusini tu ambalo Sanchez hulichezea kama kitenesi hajawahi kuligusa
Tunaposema Mchezaji Bora Tunaangalia alie Bora kwa Mafanikio Binafsi na Uwezo binafsi na Pia katika uwezo wa ku impress watazamaji, Nafikiri LEOMESSI amefanya Hilo!....Katika swala la kushinda kombe la Dunia wapo Kina Garrincha Nafikiri kashinda mara Mbili Huku Messi akiwa hana Moja....Na Hayupo kwenye Hii List!
 
Reactions: PNC
Hiyo orodha imezingatia ubora ama ipo random...?

Sioni namna unaweza kumweka Hernandez ukamwacha De Lima, Luis Figo na Gaucho?!
Mbona hamuwataji wachezaji wa kiafrika kama Nwanko Kanu. Gogba sijui pogba na wa kiarabu na kijapani?
 
Kijana wangu Pionaire Niliitazama Hii post juu juu kumbe ni weewe rafiki yangu...Hahahahaaa Nimechekaa naona leo umekubali kumweka LEO10 mbele ya CR7! Pongezi sana Mkuu!
 
Ni kweli unachozungumza na ndio wengi wanavyofikiri kwamba kuwa Mchezaji Bora wa Muda wote Hadi uchukue Kombe la Dunia Lakini Linganisha Hao wote nani Mwenye uwezo Binafsi Kuliko wote na Tuzo Binafsi Kuliko wote! Nafikiri Hakuna Doubt Japo mimi Pia Niliichukua Mtandaoni Iko Ivo!
 
Ndio maana list hiyo haina mashiko kwa sababu Ronaldinho katika wote ndio amecheza soka la sayari nyingine huku akitwaa vikombe mbalimbali kwa club yake, taifa lake pamoja na tuzo binafsi
Sensitive Kweli Nafikiri Tuirekebishe tumtoe Xavi!
 
Namba 1 hata world cup hajabeba? wewe ni ZERO km anavyoitamka Magu nilitarajia kuona 1.PELLE, 2.MARADONA 3.CR 7 4.RONALDINHO 5.DE LIMA 6.MESSI 7.ZIDANE 8 DE STEFANO 9.FRANK BERCKENBOUG NA10. OLIVER KAHN.
Kama kigezo ni kombe La dunia cr7 amefuata nn namba tatu ikiwa hata fainali hajawah kufika?
 
Hahaha yani kutokuonekana kwa mnyama Gaucho Ronaldinho hapo ni sawa na kuwa na kesi ya uhujumu uchumi. Miaka yangu 24 duniani sijapata kushuhudia mpira ukimtii kiumbe yoyote kama gaucho acheni utani huo.
 
Yes De Lima bado wakumfikia hayupo. kwa watalaamu wa Soko wanakuambia Jamaa alikuwa si wa kawaida.
 
Nilianza kuiamini... Nilipomalizia nikakuta Gaucho hayupo nikaachana nayo. Anakosaje Dinho hapo?! hivi mmeuona Mpira wa Gaucho kweli

Ukisoma kwenye hiyo link sababu zao walizotoa zipo tano na moja wapo ni kufanya vizuri kwa muda mrefu kidogo kitu ambacho kwa gaucho hajaweza kufanya!!Alicheza vizuri sana lakini kwa muda mfupi ukilinganisha na hao waliotajwa
 
Messi hajawahi kushinda worldcup umuweke 1 Pele, Maradona, Garincha utawaacha wapi?

Ukisoma kwenye hiyo link Messi na pele wana point sawa lakini naona mtoa mada kaamua kuweka mapenzi yake mbele kwa Messi
 
Namba 1 hata world cup hajabeba? wewe ni ZERO km anavyoitamka Magu nilitarajia kuona 1.PELLE, 2.MARADONA 3.CR 7 4.RONALDINHO 5.DE LIMA 6.MESSI 7.ZIDANE 8 DE STEFANO 9.FRANK BERCKENBOUG NA10. OLIVER KAHN.
Cristiano anazidiwa kimpara na mohamed Mkweche!
Hutaki unaacha! Sitaki ubishi mimi.
 
Ukisoma kwenye hiyo link Messi na pele wana point sawa lakini naona mtoa mada kaamua kuweka mapenzi yake mbele kwa Messi
Hahahahaa Kwamba Nimetanguliza Mapenzi Yangu sio!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…