Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hamna cha ajabu mesi alichokifanya. Yaan kwa miaka zaidi ya 28 hajabeba kombe la Nara lake wala kombe la dunia anaingiaje kwenye list hiyo?, hapo ndio nakosa imani na walioandaa list hiyoHahaha siku zote unapofanya makubwa ukiwa na umri mdogo kuliko wenzako unaopambanishwa nao unapewa heshima kubwa sana. Messi kafanya makubwa akiwa mdogo na bado ana chance ya kuendelea kufanya.
Una Mawazo Mazuri BossMkuu hiyo LIST HAIJAKAA VIBAYA SANA....ila kuna replacement inahitajika hapo kwa XAVI INAFAHAMIKA NI MOJA KATI YA VIUNGO BORA DUNIANI KUWAHI KUTOKEA LAKINI SIO KWA KUWEPO KWENYE LIST HII...MAANA KWANZA ANA MAFANIO YA KITIMU NA SIO YEYE BINAFSI...HAPO IYO NAFASI NI YA "RONALDINHO GAUCHO"...ALAFU NAVYOONA INAFAA HIYO LIST IWE KWENYE MPANGILIO HUU...1.PELE 2.ARIMANDO MARADONA. 3.ALIFREDO DE STEPHANO 4.ZINEDINE ZIDANE 5.RONALDINHO GAUCHO 6.FRANZ BACKENBAUER 7.LIONEL MESSI. 8.CRISTIANO RONALDO 9.MICHEL PLATINI 10.JOHAN CRUYFF ....That's the way it should be!!!
Mkuu Kama Hujaridhika na Maajabu aliyofanya Messi Katika Hii Dunia Basi hautoridhika KamweMkuu hamna cha ajabu mesi alichokifanya. Yaan kwa miaka zaidi ya 28 hajabeba kombe la Nara lake wala kombe la dunia anaingiaje kwenye list hiyo?, hapo ndio nakosa imani na walioandaa list hiyo
Pia mtu kama ronaldinho anakosaje hapo?
Tunaposema Mchezaji Bora Tunaangalia alie Bora kwa Mafanikio Binafsi na Uwezo binafsi na Pia katika uwezo wa ku impress watazamaji, Nafikiri LEOMESSI amefanya Hilo!....Katika swala la kushinda kombe la Dunia wapo Kina Garrincha Nafikiri kashinda mara Mbili Huku Messi akiwa hana Moja....Na Hayupo kwenye Hii List!Hivi hawaoni aibu kumuweka messi mbele ya watu waliotwaa world cup Mara 3 wakati yeye hata kombe la America ya kusini tu ambalo Sanchez hulichezea kama kitenesi hajawahi kuligusa
Mbona hamuwataji wachezaji wa kiafrika kama Nwanko Kanu. Gogba sijui pogba na wa kiarabu na kijapani?Hiyo orodha imezingatia ubora ama ipo random...?
Sioni namna unaweza kumweka Hernandez ukamwacha De Lima, Luis Figo na Gaucho?!
Kijana wangu Pionaire Niliitazama Hii post juu juu kumbe ni weewe rafiki yangu...Hahahahaaa Nimechekaa naona leo umekubali kumweka LEO10 mbele ya CR7! Pongezi sana Mkuu!Mkuu hiyo LIST HAIJAKAA VIBAYA SANA....ila kuna replacement inahitajika hapo kwa XAVI INAFAHAMIKA NI MOJA KATI YA VIUNGO BORA DUNIANI KUWAHI KUTOKEA LAKINI SIO KWA KUWEPO KWENYE LIST HII...MAANA KWANZA ANA MAFANIO YA KITIMU NA SIO YEYE BINAFSI...HAPO IYO NAFASI NI YA "RONALDINHO GAUCHO"...ALAFU NAVYOONA INAFAA HIYO LIST IWE KWENYE MPANGILIO HUU...1.PELE 2.ARIMANDO MARADONA. 3.ALIFREDO DE STEPHANO 4.ZINEDINE ZIDANE 5.RONALDINHO GAUCHO 6.FRANZ BACKENBAUER 7.LIONEL MESSI. 8.CRISTIANO RONALDO 9.MICHEL PLATINI 10.JOHAN CRUYFF ....That's the way it should be!!!
Ni kweli unachozungumza na ndio wengi wanavyofikiri kwamba kuwa Mchezaji Bora wa Muda wote Hadi uchukue Kombe la Dunia Lakini Linganisha Hao wote nani Mwenye uwezo Binafsi Kuliko wote na Tuzo Binafsi Kuliko wote! Nafikiri Hakuna Doubt Japo mimi Pia Niliichukua Mtandaoni Iko Ivo!Mkuu hakuna anyepinga, Mesi ni moja ya wanasoka bora kwa sasa ila tukisema kwa muda wote toka enzi hizo hashiki no moja.
Kilichonishangaza ni kuwewa no 1 eti wakina Pele aliotwaa 3 world cup awe nyuma ya mchezaje ambaye hajawahi kuchukua hata kombe mabara
Pia list hiyo mtu kama Gaucho anakosaje kuingizwa wakati katwaa vikombee vyote kanzia ngazi ya clab, national team na tuzo binafsi huku akicheza soka ambalo hakuna aliyewahi kulicheza wala kumkaribia
Sensitive Kweli Nafikiri Tuirekebishe tumtoe Xavi!Ndio maana list hiyo haina mashiko kwa sababu Ronaldinho katika wote ndio amecheza soka la sayari nyingine huku akitwaa vikombe mbalimbali kwa club yake, taifa lake pamoja na tuzo binafsi
Nan harmorapa xavi?xavi hernandez vs ronadinho = diamond vs harmorapa
Kama kigezo ni kombe La dunia cr7 amefuata nn namba tatu ikiwa hata fainali hajawah kufika?Namba 1 hata world cup hajabeba? wewe ni ZERO km anavyoitamka Magu nilitarajia kuona 1.PELLE, 2.MARADONA 3.CR 7 4.RONALDINHO 5.DE LIMA 6.MESSI 7.ZIDANE 8 DE STEFANO 9.FRANK BERCKENBOUG NA10. OLIVER KAHN.
Nilianza kuiamini... Nilipomalizia nikakuta Gaucho hayupo nikaachana nayo. Anakosaje Dinho hapo?! hivi mmeuona Mpira wa Gaucho kweli
Messi hajawahi kushinda worldcup umuweke 1 Pele, Maradona, Garincha utawaacha wapi?
Cristiano anazidiwa kimpara na mohamed Mkweche!Namba 1 hata world cup hajabeba? wewe ni ZERO km anavyoitamka Magu nilitarajia kuona 1.PELLE, 2.MARADONA 3.CR 7 4.RONALDINHO 5.DE LIMA 6.MESSI 7.ZIDANE 8 DE STEFANO 9.FRANK BERCKENBOUG NA10. OLIVER KAHN.