Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Hahaha ila akawepoChupuchupu asiwepo
Tupe vigezo ambavyo hawana!Mkuu Iniesta & xavi ni wachezaji wazuri ila hawakufikia level ya kuingia top 10 ya wachezaji bora wa muda wote katika soka
Hii list big no
Yaani Ronadinho hayupo????
Mkuu mafanikio binafsi nielewavyo ni pamoja na kzisaidia timu yake ya taifa pamoja na club kufanya vizuri. Sasa mafanikio binafsi yanabase kwenye club peke ake, how come.?Tunaposema Mchezaji Bora Tunaangalia alie Bora kwa Mafanikio Binafsi na Uwezo binafsi na Pia katika uwezo wa ku impress watazamaji, Nafikiri LEOMESSI amefanya Hilo!....Katika swala la kushinda kombe la Dunia wapo Kina Garrincha Nafikiri kashinda mara Mbili Huku Messi akiwa hana Moja....Na Hayupo kwenye Hii List!
Pamoja na Messi. Anachafua listSensitive Kweli Nafikiri Tuirekebishe tumtoe Xavi!
Kwann nisimjueNahisi ulikuwa hujaota hata meno kama gaucho kwako ni wa kawaida, aseiii pole
Hivi watu hamjui tu pele alikua mbovu acheni tu msilishwe maneno ya kale,,maradona mwenyewe kamzidi pele pakubwa sana,,Wa kwanza ni PELE huyu ndio mpaka sasa bado hajazaliwa katika macho yetu. Hakuna mtu kama huyu jamaa kwenye ulimwengu wa soka
Nani kasema Cr7 kachukua kombe la dunia.? Nilisema kombe la dunia ameenda mbali. Nilitaka kurelate kwenye kombe la bara lake walau hapo ndio anaweza kuingia top 5.
List ya TFF hii,kuna watu hapo km dinyo, hawaonekani kvp
Ronaldinho hayupo mkuu...
hao wote hawamkaribii....
SEEDORF kachukua kombe gani kwa taifa lake????Kama ni makombe seedof angetawala apo
Wewe endelea kusema hivyo tu mwenzako Maradona amebana hatimae ameachia anasema angetamani CR7 angekuwa Argentina national team pamoja na Messi unadhani ni kwanini?Fuatilia kombe la mabara utagundua ni kwanini??KING Messi ni balaa
Hadi sasa kombe la mabara Mmoroko ana goli 2 moja ni la penat SASA KIPI CHA KUSHANGAZA wakati alipokutana na miamba ya Ki Mexico alishindwa kufurukutaWewe endelea kusema hivyo tu mwenzako Maradona amebana hatimae ameachia anasema angetamani CR7 angekuwa Argentina national team pamoja na Messi unadhani ni kwanini?Fuatilia kombe la mabara utagundua ni kwanini??
Chief unatumia kigezo gani kusema ivyo. Na wakati zipo makala nyingi sana zielezea makuu ya huyu mtu. World cup 3. Itachukua muda sana kuja kutokea binadamu kama huyu kwenye ulimwengu wa sokaHivi watu hamjui tu pele alikua mbovu acheni tu msilishwe maneno ya kale,,maradona mwenyewe kamzidi pele pakubwa sana,,
Labda kwa faida yako tu ni kwamba tunatarajia Ureno kubeba huo mzigo bila wasiwasi wowote yaaniHadi sasa kombe la mabara Mmoroko ana goli 2 moja ni la penat SASA KIPI CHA KUSHANGAZA wakati alipokutana na miamba ya Ki Mexico alishindwa kufurukuta
Naungana nawe ktk hili, labda ni kwakuwa hakucheza kwa muda mrefu sana, ila kwa hawa niliowahi kuwajua, hakuna kama huyu jamaa.
Ronaldinho hayupo mkuu...
hao wote hawamkaribii....
Kwa kukujuza Zaid hao ureno wakikutana na Chile watapigwa si chini ya 3 ila kama ni wajerumani basi wajiandae na lundo la magoli kama BrazilLabda kwa faida yako tu ni kwamba tunatarajia Ureno kubeba huo mzigo bila wasiwasi wowote yaani