List: Wachezaji 10 Bora wa Mpira wa Miguu wa Muda Wote!

List: Wachezaji 10 Bora wa Mpira wa Miguu wa Muda Wote!

Tunaposema Mchezaji Bora Tunaangalia alie Bora kwa Mafanikio Binafsi na Uwezo binafsi na Pia katika uwezo wa ku impress watazamaji, Nafikiri LEOMESSI amefanya Hilo!....Katika swala la kushinda kombe la Dunia wapo Kina Garrincha Nafikiri kashinda mara Mbili Huku Messi akiwa hana Moja....Na Hayupo kwenye Hii List!
Mkuu mafanikio binafsi nielewavyo ni pamoja na kzisaidia timu yake ya taifa pamoja na club kufanya vizuri. Sasa mafanikio binafsi yanabase kwenye club peke ake, how come.?

Hii list yako imekaa kimahaba mahaba kulingana na avatar yako. Messi bado sijaweza kumingiza kwenye top 7.
 
Nahisi ulikuwa hujaota hata meno kama gaucho kwako ni wa kawaida, aseiii pole
Kwann nisimjue
Namjua sana
We jiulize kama waga anapewa heshima kama mpira aliokuwa anaucheza
Gaucho alikuwa ni mpendezesha mpira
Lkn hamna ata record moja alieivunja
 
Wa kwanza ni PELE huyu ndio mpaka sasa bado hajazaliwa katika macho yetu. Hakuna mtu kama huyu jamaa kwenye ulimwengu wa soka

Nani kasema Cr7 kachukua kombe la dunia.? Nilisema kombe la dunia ameenda mbali. Nilitaka kurelate kwenye kombe la bara lake walau hapo ndio anaweza kuingia top 5.
Hivi watu hamjui tu pele alikua mbovu acheni tu msilishwe maneno ya kale,,maradona mwenyewe kamzidi pele pakubwa sana,,
 
75

Ronaldinho hayupo mkuu...
hao wote hawamkaribii....
List ya TFF hii,kuna watu hapo km dinyo, hawaonekani kvp
 
KING Messi ni balaa
Wewe endelea kusema hivyo tu mwenzako Maradona amebana hatimae ameachia anasema angetamani CR7 angekuwa Argentina national team pamoja na Messi unadhani ni kwanini?Fuatilia kombe la mabara utagundua ni kwanini??
 
Hadi sasa kombe la mabara Mmoroko ana goli 2 moja ni la penat SASA KIPI CHA KUSHANGAZA wakati alipokutana na miamba ya Ki Mexico alishindwa kufurukuta
 
Hivi watu hamjui tu pele alikua mbovu acheni tu msilishwe maneno ya kale,,maradona mwenyewe kamzidi pele pakubwa sana,,
Chief unatumia kigezo gani kusema ivyo. Na wakati zipo makala nyingi sana zielezea makuu ya huyu mtu. World cup 3. Itachukua muda sana kuja kutokea binadamu kama huyu kwenye ulimwengu wa soka
 
Hadi sasa kombe la mabara Mmoroko ana goli 2 moja ni la penat SASA KIPI CHA KUSHANGAZA wakati alipokutana na miamba ya Ki Mexico alishindwa kufurukuta
Labda kwa faida yako tu ni kwamba tunatarajia Ureno kubeba huo mzigo bila wasiwasi wowote yaani
 
Unamuachaje RONALDO LUIS NAZARIO DE LIMA eti kwenye list yupo cr7 xavi aiseee ni kumkosea heshima jamaa ana 3 balon d'or copa america winner world cup winner golden boot 2002 Korea and Japan duuuh
 
Labda kwa faida yako tu ni kwamba tunatarajia Ureno kubeba huo mzigo bila wasiwasi wowote yaani
Kwa kukujuza Zaid hao ureno wakikutana na Chile watapigwa si chini ya 3 ila kama ni wajerumani basi wajiandae na lundo la magoli kama Brazil
 
Wewe mleta mada na wenzako wanaokuunga mkono, siku mkifahamu kwanini Edson Arentes De nacemento yeye ndio mfalme wa soka ulimwenguni hamtarudia tena kutuletea hii list ya kipuuzi.
 
Back
Top Bottom