engine rock
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 1,379
- 1,394
Ukweli unabaki kuwa Mess na Ronaldo wanatamba kwenye kizazi dhaifu cha soka kipindi ambacho ligi ya Italia imekuwa dhaifu rashford anategemewa man u benzema ana namba ya kudum Madrid na Bayern anamekuwa mfalme wa soccer GermanYani Mkuu najaribu kufikiria ATOKE NANI KWENYE LIST ALIYOLETA MTOA MADA...KWA MAANA KUNA WAKALI KIBAO BADO WAMEACHWA NJE UNAMKUMBUKA "MARCO VAN BASTEN" MOJA YA KIZAZI CHA DHAHABU KABISA KATIKA HISTORIA YA SOCCER KUTOKEA UHOLANZI NAFIKIRI HUYU NDO NUMBER ONE ICONIC OF NETHERLAND(UHOLANZI).
View attachment 530414
Hao ni wafalme wako. Bora Diego kuliko huyo Messiana.Kipele hana chochote. Hata kwa mwalabu zidane hafiki,,, mwisho wa yote KING MESSI AND KING DIEGO watabakia kuwa wafalme daima,,,,
Nimeshakwambia endelea kuwaabudu wafalme wako. Na hayo ni maoni yako. Mimi nasimama ninapo amini na ninapoelewa. Vyombo vya habari kama ni mtu mmoja ndio anaviendesha sawa. Lakini as long as vipo vingi hata vyenyewe vimekiri PELE ndiye mfalme katika soka.Kamanda wangu eeee,,,,hayo uyasemayo ni maneno yako binafc na co kutoka FIFA.
Kwanza uyo kipele hata kwa zidane haguc,,sema media zinamlinda kutokana na umri wake.alakini kisoka
1-KING MESSI atabakia kuwa baba lao,,,,, toto la kiargentina from rosario central,,,,
2- DIEGO ARMANDO from Lanus Argentina,,,huyu mhuni ataendelea kukumbukwa kwa mingi alioyafanya katika era yake. 2meshuudia Kacheza muda mfupi mno alakini kalets prosperity kubwa kuwahi kutokea kwa player yoyote 2naemjuwa except KING MESSI alone.
1-Asante KING LEO10 from Rosario
2-Asante KING DIEGO10 from Lanus
3-Hakuna
4-n.k
Mkuu ticket ni kiac gani mpaka wanapoishi awa wafalume????😛😛😀😀
Nimeshakwambia endelea kuwaabudu wafalme wako. Na hayo ni maoni yako. Mimi nasimama ninapo amini na ninapoelewa. Vyombo vya habari kama ni mtu mmoja ndio anaviendesha sawa. Lakini as long as vipo vingi hata vyenyewe vimekiri PELE ndiye mfalme katika soka.
Wewe komaa na wafalme wako.. [emoji3] [emoji3]
Ukisikia mfalme wa soka wa dunia ujue hata kombe la dunia kabeba... messi anakuwaje mfalme duniani wakati hajawahi kuchukua hata olimpic??? Una matatizo ya akili wewe sio bure..
Nisiwe Mnafiki LeoMessi Hajachukua tu Kombe na Nchi Yake ila Kwenye idara zingine zote LeoMessi ni Mfalme na Hatokaa atokee tena Kama Lionel Messi!
Lionell Mess sio mtu wa kawaida, mwache awe namba moja.et Messi namba moja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
haya ni Mahaba
Achaa Mahaba Mkuu, au una Chuki Binafsi na Mungu wa Mpira LeoMessi!Ukisikia mfalme wa soka wa dunia ujue hata kombe la dunia kabeba... messi anakuwaje mfalme duniani wakati hajawahi kuchukua hata olimpic??? Una matatizo ya akili wewe sio bure..
Narudia tena una matatizo ama ya kichwa au macho au moyo.... messi wa kawaida sana.. maana hakuna makubwa aliyoifanyia nchi yake.. zaidi ya kulia lia tu na kustaafu akiwa na miaka 28..Achaa Mahaba Mkuu, au una Chuki Binafsi na Mungu wa Mpira LeoMessi!
Najaribu kukuelewesha kumbe mtu Mwenyewe Ni Mpumbavu!Narudia tena una matatizo ama ya kichwa au macho au moyo.... messi wa kawaida sana.. maana hakuna makubwa aliyoifanyia nchi yake.. zaidi ya kulia lia tu na kustaafu akiwa na miaka 28..
Namba 3 kwa kigezo gani hata world cup hajagusa hata semi finalNamba 1 hata world cup hajabeba? wewe ni ZERO km anavyoitamka Magu nilitarajia kuona 1.PELLE, 2.MARADONA 3.CR 7 4.RONALDINHO 5.DE LIMA 6.MESSI 7.ZIDANE 8 DE STEFANO 9.FRANK BERCKENBOUG NA10. OLIVER KAHN.
Mhhhhh hujui moto wa xavi wwHapo kwenye no 8 mtoe xavi muweke gaucho
France alimtoa nani wkt anaingia final 2006?????Namba 3 kwa kigezo gani hata world cup hajagusa hata semi final
Kama hujui kitu ni bora utulize shimo hilo....Namba 3 kwa kigezo gani hata world cup hajagusa hata semi final
Yaani list inamuweka platini na xavi inamsahau Ferenc Puskas na ZICO The white pele????Natumai Mu wazima Ndugu zangu Basi wikiendi Hii Nimeamua kuwaletea Karibu List ya wachezaji kumi Bora wa Mpira wa Miguu wa Muda wote Ni kuanzia wa kwanza Mpaka wa Kumi.
source: Click Hapa
1.Lionel Messi
2.Pele
3.Diego Maradona.
4.Zinedine Zidane
5.Franz BackenBauer
6.Cristiano Ronaldo
7.Alfredo Di Stefano
8.Xavi Hernandez
9. Johan Cruyff
10. Michel Platini
Mesi hamfikii hata maradona sembuse pele!!!! Kama ana uwezo abebe worldcup 3 ndani ya tournament 4 tumuone mbabe!!!!!wewe ndo utulize huo Mshono Messi kafikisha timu yake adi Fainali
Kuwa serious mkuu!!! Tafuta filamu ya world cup 1970 ndio uje useme hamfikii pia tafuta libertadores la 60,61 zipo hizo mechi zake full highlights ndio utaelewa huyu alikuwa ni nani wanapomuita KING PELE hawakukoseaKipele hana chochote. Hata kwa mwalabu zidane hafiki,,, mwisho wa yote KING MESSI AND KING DIEGO watabakia kuwa wafalme daima,,,,