List: Wachezaji 10 Bora wa Mpira wa Miguu wa Muda Wote!

List: Wachezaji 10 Bora wa Mpira wa Miguu wa Muda Wote!

Yani Mkuu najaribu kufikiria ATOKE NANI KWENYE LIST ALIYOLETA MTOA MADA...KWA MAANA KUNA WAKALI KIBAO BADO WAMEACHWA NJE UNAMKUMBUKA "MARCO VAN BASTEN" MOJA YA KIZAZI CHA DHAHABU KABISA KATIKA HISTORIA YA SOCCER KUTOKEA UHOLANZI NAFIKIRI HUYU NDO NUMBER ONE ICONIC OF NETHERLAND(UHOLANZI).

View attachment 530414
Ukweli unabaki kuwa Mess na Ronaldo wanatamba kwenye kizazi dhaifu cha soka kipindi ambacho ligi ya Italia imekuwa dhaifu rashford anategemewa man u benzema ana namba ya kudum Madrid na Bayern anamekuwa mfalme wa soccer German
Wako wapya Ajax ,PSV Eindhoven,Ac Milan na wabishi wengine wa soccer mess au ronaldo tungewangoja wastaafu ili waingie kwenye orodha
 
Kamanda wangu eeee,,,,hayo uyasemayo ni maneno yako binafc na co kutoka FIFA.

Kwanza uyo kipele hata kwa zidane haguc,,sema media zinamlinda kutokana na umri wake.alakini kisoka
1-KING MESSI atabakia kuwa baba lao,,,,, toto la kiargentina from rosario central,,,,

2- DIEGO ARMANDO from Lanus Argentina,,,huyu mhuni ataendelea kukumbukwa kwa mingi alioyafanya katika era yake. 2meshuudia Kacheza muda mfupi mno alakini kalets prosperity kubwa kuwahi kutokea kwa player yoyote 2naemjuwa except KING MESSI alone.

1-Asante KING LEO10 from Rosario
2-Asante KING DIEGO10 from Lanus
3-Hakuna
4-n.k

Mkuu ticket ni kiac gani mpaka wanapoishi awa wafalume????😛😛😀😀
Nimeshakwambia endelea kuwaabudu wafalme wako. Na hayo ni maoni yako. Mimi nasimama ninapo amini na ninapoelewa. Vyombo vya habari kama ni mtu mmoja ndio anaviendesha sawa. Lakini as long as vipo vingi hata vyenyewe vimekiri PELE ndiye mfalme katika soka.

Wewe komaa na wafalme wako.. [emoji3] [emoji3]
 
Nisiwe Mnafiki LeoMessi Hajachukua tu Kombe na Nchi Yake ila Kwenye idara zingine zote LeoMessi ni Mfalme na Hatokaa atokee tena Kama Lionel Messi!
 
Nisiwe Mnafiki LeoMessi Hajachukua tu Kombe na Nchi Yake ila Kwenye idara zingine zote LeoMessi ni Mfalme na Hatokaa atokee tena Kama Lionel Messi!
Ukisikia mfalme wa soka wa dunia ujue hata kombe la dunia kabeba... messi anakuwaje mfalme duniani wakati hajawahi kuchukua hata olimpic??? Una matatizo ya akili wewe sio bure..
 
Ukisikia mfalme wa soka wa dunia ujue hata kombe la dunia kabeba... messi anakuwaje mfalme duniani wakati hajawahi kuchukua hata olimpic??? Una matatizo ya akili wewe sio bure..
Achaa Mahaba Mkuu, au una Chuki Binafsi na Mungu wa Mpira LeoMessi!
 
Achaa Mahaba Mkuu, au una Chuki Binafsi na Mungu wa Mpira LeoMessi!
Narudia tena una matatizo ama ya kichwa au macho au moyo.... messi wa kawaida sana.. maana hakuna makubwa aliyoifanyia nchi yake.. zaidi ya kulia lia tu na kustaafu akiwa na miaka 28..
 
Narudia tena una matatizo ama ya kichwa au macho au moyo.... messi wa kawaida sana.. maana hakuna makubwa aliyoifanyia nchi yake.. zaidi ya kulia lia tu na kustaafu akiwa na miaka 28..
Najaribu kukuelewesha kumbe mtu Mwenyewe Ni Mpumbavu!
 
Namba 1 hata world cup hajabeba? wewe ni ZERO km anavyoitamka Magu nilitarajia kuona 1.PELLE, 2.MARADONA 3.CR 7 4.RONALDINHO 5.DE LIMA 6.MESSI 7.ZIDANE 8 DE STEFANO 9.FRANK BERCKENBOUG NA10. OLIVER KAHN.
Namba 3 kwa kigezo gani hata world cup hajagusa hata semi final
 
Natumai Mu wazima Ndugu zangu Basi wikiendi Hii Nimeamua kuwaletea Karibu List ya wachezaji kumi Bora wa Mpira wa Miguu wa Muda wote Ni kuanzia wa kwanza Mpaka wa Kumi.
source: Click Hapa

1.Lionel Messi
8ya3ZNY9lmn_ilFl6oSGC0MoqWAmiEwsfPwmpRi8Kso=w576-h389-no

2.Pele
pele%2Bgreatest%2Bsoccer%2Bplayer%2Bof%2Ball%2Btimes.jpg

3.Diego Maradona.

Diego%2BMaradona%2Bgreatest%2Bfootballer%2Bof%2Ball%2Btimes.jpg

4.Zinedine Zidane

sd2_x7fASOOmDlPbRuvAWLTvFWzD-gMpD0S-_ypdZ7A=w666-h354-no

5.Franz BackenBauer

zOPXqG4IPEAqtvxRp1bAMYGD91flJWU0vW-rVjxezWY=w679-h389-no

6.Cristiano Ronaldo

zXq2e35EvJKapibkM5jlguaTV-u0Mw_caDFaFDg-fCw=w710-h389-no

7.Alfredo Di Stefano

PYeRbd1EOiOikyOqk1_4VR5Ae41ixf_TCRYpA2NytSI=w526-h362-no

8.Xavi Hernandez

RsqLjFu2hQyKDXrghvCpGGo-_wglhzzWnzGWRygOWdo=w785-h391-no

9. Johan Cruyff

Johan%2BCruyff.jpg

10. Michel Platini
michel%2Bplatini%2Bgreatest%2Bfootballer%2Bof%2Ball%2Btimes.jpg
Yaani list inamuweka platini na xavi inamsahau Ferenc Puskas na ZICO The white pele????

Huu utani huu
 
wewe ndo utulize huo Mshono Messi kafikisha timu yake adi Fainali
Mesi hamfikii hata maradona sembuse pele!!!! Kama ana uwezo abebe worldcup 3 ndani ya tournament 4 tumuone mbabe!!!!!

Enzi hizo hamna substitution pele kacheza dakka 30 za mwisho na POP mguuni mechi ya portugal huku anachechemea na akatundika assist ingawa walilala na pia mlikuwa mkidraw mechi inrudiwa kesho yake kama ile ya poland vs brazil 4-4 mechi ikarudiwa kesho yake asbuhi na timu hazikubadilishwa na bado wakamtandika poland then mnakuja kulinganisha na enzi za mesi ambazo ukivutwa shati tu penati!!!!

Funny

Kwa ufupi messi hawakuti
Didi
Zico
Pele
Maradona
Puskas
Kocsis
 
Kipele hana chochote. Hata kwa mwalabu zidane hafiki,,, mwisho wa yote KING MESSI AND KING DIEGO watabakia kuwa wafalme daima,,,,
Kuwa serious mkuu!!! Tafuta filamu ya world cup 1970 ndio uje useme hamfikii pia tafuta libertadores la 60,61 zipo hizo mechi zake full highlights ndio utaelewa huyu alikuwa ni nani wanapomuita KING PELE hawakukosea

Na mjadala ulishafungwa maana jopo la wataalam wa mpira huko fifa walipiga kura na baada ya mjadala mrefu wakatoka na jina kuwa PELE ndio mchezaji wa karne ssa who the hell is maradona
 
Back
Top Bottom