Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 1,907
- 3,560
Mimi kwa mtizamo wangu na kulingana na kura za awali na imani
Donald Trump atashinda uchaguzi wa Marekani, ambao unategemewa
kufanyika tarehe 5 November 2024.
Kwa sasa Marekani inamuhitaji sana mtu kama Donald Trump kwani Marekani
ina maadui wengi hivyo inahitaji Raisi shupavu, kete hii inambeba sana hasa
kwa wahafidhina wa Marekani.
Donald Trump akishinda na kuwa Raisi dunia itachangamka. Poleni sana
Shithole Countries msiopenda Donald Trump msema kweli.