Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 1,907
- 3,560
Hakuna lolote, Kamala hawezi kumzidi Trump hata kidogo. Poleni ambaoSema siasa za marekani zina mahesabh makali saana jua linaweza kuzama ukiamini ni Trump kukicha unashangaa ni kamala
Afu si raia wote wanachagua Rais, kuna kitu kinaitwa popular votes ambazo hazikupatii ushindi.Sema siasa za marekani zina mahesabh makali saana jua linaweza kuzama ukiamini ni Trump kukicha unashangaa ni kamala
Wale wana mifumo inayofanya kazi, Katiba yao ni bora pamoja na sheria zao katika kila jimbo, pia Mahakama zao zipo huru ambapo Rais akifanya ujinga anapandishwa kizimbani bila shida.
Kwa wenzetu hata wakipata Rais wa sampuli ipi, maamuzi critical ya nchi yanafanywa na Rais pamoja na Bunge. Wasipoelewana basi Mahakama yao inachukua nafasi kuona yupi yupo sahihi kulingana na Sera / sheria zao.
Kwetu hapa kwa Katiba hii
Yes wana mifumo mizuri (Institutionalisation) sio huku kwetudugu zangu ukapata Rais wa ajabu - utaimba halekuya.
Kama yule dhalim alivyofanya ushenzi 2019 na 2020.Yes wana mifumo mizuri (Institutionalisation) sio huku kwetu
Mtu mmoja ndio ana amua hatima ya watu wengi.
😡Kwa Trump wako wagumu wagumu kama akina Lisu na JD 🐼
Duh,
Mkuu unajua na dunia tunakoelekea kwenye sheria za NEW WORLD ORDER - GREAT RESET lazima uwe na mtu kama Trump kuliko yule madam Kamala.Kwa Trump wako wagumu wagumu kama akina Lisu na JD 🐼
Kweli alikosea sana.Kama yule dhalim alivyofanya ushenzi 2019 na 2020.
Umenikumbusha mbali enzi za Algo aliepata kura zakumwaga lakini hakushindaAfu si raia wote wanachagua Rais, kuna kitu kinaitwa popular votes ambazo hazikupatii ushindi.
Ndio mkuu kwa sababu Marekani ina ushawishi kwa kiasiUchaguzi huku Marekani, ila dunia nzima macho gololi.
Ila kwa sasa wahafidhina wa Marekani wana mtaka TrumpUmenikumbusha mbali enzi za Algo aliepata kura zakumwaga lakini hakushinda
Yes, its either mtu moja au kikundi cha watu wachache. Kwa mfano mambo kama Christo -Fascist RegimeYes wana mifumo mizuri (Institutionalisation) sio huku kwetu
Mtu mmoja ndio ana amua hatima ya watu wengi.
Uko sahihi kabisa. Utawala mkubwa duniani ulioibuka wakati utawala mwingine mkubwa duniani ulipodidimia ni America-USA. USA is a historical/biblical nation na itaendelea kuwa kidedea hadi mwisho wa dunia.Ndio mkuu kwa sababu Marekani ina ushawishi kwa kiasi
kikubwa dunia nzima.
Sema siasa za marekani zina mahesabh makali saana jua linaweza kuzama ukiamini ni Trump kukicha unashangaa ni kamala
Yes na wanajitengenezea family dynasty za kurithishanaYes, its either mtu moja au kikundi cha watu wachache. Kwa mfano mambo kama Christo -Fascist Regime