List ya Celebrities waonamuunga mkono Kamala Vs Trump Uchaguzi wa Marekani

Uko sahihi kabisa. Utawala mkubwa duniani ulioibuka wakati utawala mwingine mkubwa duniani ulipodidimia ni America-USA. USA is a historical/biblical nation na itaendelea kuwa kidedea hadi mwisho wa dunia.
Ooh sawa sawa, ukicheki matajiri wakubwa wapo huko, wana Sayansi a teknolojia

wakubwa pia wengi wapo huko. Marekani ni giant.
 
Yule ni kichaa! Halindi interests za Marekani Afrika anaachia wachina wanajitanua TU! Halafu ni libaguzi la rangi sana! Pumbavu sana!
 
Marekani Ina mifumo imara sio one man show ya maccm kama Ile ya jiwe!
 
Kwa Afrika, hata katiba iwe msumeno kiasi gani haitokuja kuwezekana kuizidi nguvu ya mwanasiasa.

Kwa mifumo yetu ya kiuongozi ilivyo, demokrasia ni vazi tu ambalo tumelivaa ili kupata manufaa fulani kutoka nchi za nje.
 
watu wana mpango. niliona sehemu eti elon musk ashachangia about 75 milion dollars.
 
Kwa Afrika, hata katiba iwe msumeno kiasi gani haitokuja kuwezekana kuizidi nguvu ya mwanasiasa.

Kwa mifumo yetu ya kiuongozi ilivyo, demokrasia ni vazi tu ambalo tumelivaa ili kupata manufaa fulani kutoka nchi za nje.
Ila kuna nchi zinajitahidi kama Kenya na Afrika kusini ila majority ya nchi

za Afrika ni matatizo.
 
Unajua Trump alikuwa convicted on 34 counts ila bado anagombea urais huku Diddy mwenye allegations bila conviction yeyote kanyimwa dhamana. Haki gani unaongelea?
 
Hata mimi niongezee hapo kwenye orodha ya kumuunga mkono 'mshangazi'.
 
Unajua Trump alikuwa convicted on 34 counts ila bado anagombea urais huku Diddy mwenye allegations bila conviction yeyote kanyimwa dhamana. Haki gani unaongelea?
Kwa hiyo umeamua kuonesha chuki yako dhidi ya Trump.
 
Kwa hiyo umeamua kuonesha chuki yako dhidi ya Trump.

I could vote for him. Swali langu halina uhusiano wowote na chuki, nimeuliza unajua alikuwa convicted on 34 counts sio moja au mbili bali 34. Mnapenda kudanganyana utawala wa sheria nchi zingine wakati mifano ipo on plain sight.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…