GadoTz
JF-Expert Member
- Nov 20, 2014
- 370
- 636
Vazi la suti ni vazi linaloheshimika sana duniani. Ni vazi pekee ambalo linavaliwa kwenye matukio makubwa na mtu kuonekana nadhifu. Leo nataka tuone mastaa sita wa hapa Bongo wanaoongoza kwa kupiga suti kali.
1.Diamond Platnumz : Kwa sasa unaweza kumuita Mr red carpet ,maana amemaliza karibia matukio yote ya kistaa duniani labda kabakiza tuzo za Oscar tu lol. Ndio msanii anayependeza akiwa kwenye suti kuliko celeb yoyote Tanzania.
2. Sheria Ngowi : Mbunifu wa mavazi, sio mtu wa kuonekana sana kwenye matukio mengi kama celebrities wengine, ila akitokea kwenye tukio lazima mtafutane. Suti za huyu jamaa ni simple ila zipo so classic.
3. B12: Mtangazaji namba moja kwenye maswala ya fasheni za pamba... Ni mtangazaji anayetupia suti kali kuwahi kushuhudiwa katika kizazi hiki. Kwa mahaba aliyonayo kwenye mitupio, mshikaji ana duka la pamba Born2shine. Akivaa suti, suti inakuwa inajisikia ipo nyumbani.
4. January Makamba: Rais mtia nia huyu, suti zinampenda kuliko yeye anavyozopenda, Ni mwanasiasa pekee anayejua suti classic haswa, angeingia ikulu, kina Obama lazima wangetubu kwenye mamikutano yao huko.
5. Ommy Dimpoz : moja ya viumbe wachache ambao suti haziwakatai. Akivaa suti utafikiri kazaliwa nayo.
6. Hemed PHD: Ukiangalia namna suti inavyotakiwa kumkaa mtu, basi PHD ni mmoja ya vijana wachache akiwa ndani ya suti lazima uikubali suti kwa ujumla... Suti zinamtoa chicha sana kuliko mavazi mengine.