bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,370
- 3,962
Hizo single button ni za mabitoz na watoto ila sisi watu wazima hatuvai hizo.Wala hukuti mtu mwenye heshima kwa jamii kavaa single button.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msanii anayengoza kwa kutupia Bongo ni Jux na Dimpoz kwa mbali, ila daimond mwili wake na suti hauendani hata kidogo
Teh sasa dozen anavaaga suti mara kwa mara? Wewe utakua umekeriri unaowajua wewe kwa mahaba yako
Hadi huku unaleta u team kiba kazi kweli kweli 😀😀😀😀😀
Nimemtaja kiba wapi kedrick, huyo ni jux na omy au?? soma vizuri
Bado nashangaaTeh sasa dozen anavaaga suti mara kwa mara? Wewe utakua umekeriri unaowajua wewe kwa mahaba yako
Huwa anapenda sana maua na rangi nyekundu..