Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuwa star na kuwa famous ni vitu viwili tofauti....
Msanii anayengoza kwa kutupia Bongo ni Jux na Dimpoz kwa mbali, ila daimond mwili wake na suti hauendani hata kidogo
Well said mkuu,mtu mwenye mwili mkubwa juu chini mdogo hawezi pendezwa na suti hta cku 1 ila ndio ivo tena ustaa tunaaminishwa kila akivaacho kinampendeza,hebu cheki bodi ya kiba akitupia suti zinavyotoka cheche ni balaaa
Michael Jackson alikuwa star au famous?
je Barack Obama ni star au famous?
majibu samahani!
Michael Jackson alikuwa star au famous?
je Barack Obama ni star au famous?
majibu samahani!
Huwa anavaa sana tu.
tafiti gani ya kitaalamu umefanya?Nimeileta hapa baada ya kufanya tafiti ya kitaalam.
tafiti gani ya kitaalamu umefanya?
unapomtoa Jux hapo kwamba havai mara kwa mara wakati diamond umemweka namba moja, hivi diamond kuvaa suti ana tofauti gani na jux? basi ungeangalia hata pics zao za insta nani kafanya snaps nyingi za sutiMkuu, nimefanya review ya uhakika, nikachagua na kutumia methodology ambazo ni relevant na study yangu niliyofanya, I mean vitu kama njia za collection of data, sampling na sample tecs validity etc etc nikafanya analysis inshort sio vitu vya kubahatisha hivi. Tena hizi sio zile zenu za repoa za kupika data
unapomtoa Jux hapo kwamba havai mara kwa mara wakati diamond umemweka namba moja, hivi diamond kuvaa suti ana tofauti gani na jux? basi ungeangalia hata pics zao za insta nani kafanya snaps nyingi za suti