[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]baba angu mdogo huyo awachape ww na jimama lake
Sijawahi tembelewa PM na single girlSingle
baba kidekoMama shunie
Tukimaliza zoezi la kutambua single girls litafata zoezi la kutambua ambao bado wana bikra..Nyie [emoji4]
Nahitaji kuwajua wasichana wote mlokuwa "single" humu Jf
Kama upo single, comment kwenye huu uzi.
Kuna Project kubwa inakuja humu. Sawa???..
Sasa wew ole wako uwe single alaf hutak kuweka wazi, tusije kulaumiana huko mbele ya safari
NB; na hzo PM zenu mziweke ziwe wazi..
Eehe. Ili Kama ni pesa nioate changu mapema[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unachangamkia fursa au sio?
We mbona unanichunguza sana yaheeee!Kuna kitu kilitokea na unahisi muda ndiyo utakuponya au upo bize na maisha?
Unataka utembelewe ili iweje?Sijawahi tembelewa PM na single girl
Haya bhana Chukua Chako MapemaEehe. Ili Kama ni pesa nioate changu mapema
hahahha akubali sasa shikamoo zetu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mbona jimama!! Sasa tukishamuamkia shikamoo(wifi,mamdogo) sijui nini kinafuata, na hapo bwanake ndio anatuamkia[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Kwakweli inabidi kikako cha dharura cha ukoo kikae!
Sikuchunguzi, ni vile kufanya conversation isifeWe mbona unanichunguza sana yaheeee!
hahhaah undg wa kulazimishwa sijawahi onaYaani bora tu ulijiengua maana ugonjwa wa bandama ungekuhusu soon. Sasa kama wote tumepewa nafasi ya udungu nahisi nawe utakuwa umepewa tu nafasi yako.
Umeupendaaa?Mbona miguno.?
Shikamoo bibi wifi[emoji134] [emoji134] [emoji134]hahahha akubali sasa shikamoo zetu
Tutafanyaje sasa na hamna jinsi, ghafla kila mmoja anapewa nafasi yake, au ndio ili asituonyeshe kile kitu chake?hahhaah undg wa kulazimishwa sijawahi ona
Mamdogo kwani mimi sio nduguyohahhaah undg wa kulazimishwa sijawahi ona
Hivi sis shunie mimi baba mdogo wake..anatakiwa akuiteje vileeShikamoo bibi wifi[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Mweeeh!! Daby mbona katuweza.
Tutafanyaje sasa na hamna jinsi, ghafla kila mmoja anapewa nafasi yake, au ndio ili asituonyeshe kile kitu chake?
Wewe ndio uniambie mie hata sielewi, sijui shangazi![emoji134] [emoji134] [emoji134]Hivi sis shunie mimi baba mdogo wake..anatakiwa akuiteje vilee
Aaah sio huku.Kwa hiyo uko na ubavu wako humu ndani au sio [emoji6] [emoji6] [emoji6]