List ya "Single Girls" ndani Ya Jf..

List ya "Single Girls" ndani Ya Jf..

hahahhah ujue tutachambwa yule mama ana kichambo halaf bora achambe kiswahili asee sio kichambo cha lugha ya malkia
Akituchamba kimalikia tunamchamba kimasai, asitutanie kabisa. Bahati nzuri lugha yenyewe hatuijui kwahiyo walaa hatutaelewa na haitotuuma.
 
Na ndiyo maana nimewatafutia wifi wa kimalikia ili muishe maneno
 
Hatuishi ng'oooo!! Na ole wake atuchambe. Tutapiga colabo na yule mzaramo wako yaani kichambo sio cha nchi hii. Bora atulie hivyo hivyo akulee ukue kue angalau ujitambue.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na kweli maneno yametuisha na anachamba yule mama alimpa husna makavu aisee mpk huruma
 
Hatuishi ng'oooo!! Na ole wake atuchambe. Tutapiga colabo na yule mzaramo wako yaani kichambo sio cha nchi hii. Bora atulie hivyo hivyo akulee ukue kue angalau ujitambue.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

hahahhaha lkn naona hawezi kutoka pale kaingia miguu yote miwili
 
Back
Top Bottom