List ya "Single Girls" ndani Ya Jf..

List ya "Single Girls" ndani Ya Jf..

baba angu mdogo huyo awachape ww na jimama lake
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mbona jimama!! Sasa tukishamuamkia shikamoo(wifi,mamdogo) sijui nini kinafuata, na hapo bwanake ndio anatuamkia[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Kwakweli inabidi kikako cha dharura cha ukoo kikae!
 
Nyie [emoji4]

Nahitaji kuwajua wasichana wote mlokuwa "single" humu Jf

Kama upo single, comment kwenye huu uzi.

Kuna Project kubwa inakuja humu. Sawa???..
Sasa wew ole wako uwe single alaf hutak kuweka wazi, tusije kulaumiana huko mbele ya safari

NB; na hzo PM zenu mziweke ziwe wazi..
Tukimaliza zoezi la kutambua single girls litafata zoezi la kutambua ambao bado wana bikra..
 
Nani aliwahi kujaribu love spells na akapata majibu?
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mbona jimama!! Sasa tukishamuamkia shikamoo(wifi,mamdogo) sijui nini kinafuata, na hapo bwanake ndio anatuamkia[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Kwakweli inabidi kikako cha dharura cha ukoo kikae!
hahahha akubali sasa shikamoo zetu
 
Back
Top Bottom