We tupangie tu undugu, ila utakapokuta tumewowana ndugu usishangae.
Thio huku.. duuu sauti yako mmhAaah sio huku.
Sis hamuwezi mimi nipo nitawaongoza kwa busaraWe tupangie tu undugu, ila utakapokuta tumewowana ndugu usishangae.
Uwiiiii!! Yaani wewe kabisaaa utuongoze! Hiyo sifa uliipoteza siku ulohamia kwa jimama. Acha tu tujiongoze wenyewe.Sis hamuwezi mimi nipo nitawaongoza kwa busara
Lakini sis mapenzi ni moyo ujue. Love is weaknessUwiiiii!! Yaani wewe kabisaaa utuongoze! Hiyo sifa uliipoteza siku ulohamia kwa jimama. Acha tu tujiongoze wenyewe.
basi utakuwa mchepuko wangu humu jf.Aaah sio huku.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] katuweza kwani kidogo bado husna kuitwa shangaziShikamoo bibi wifi[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Mweeeh!! Daby mbona katuweza.
Tutafanyaje sasa na hamna jinsi, ghafla kila mmoja anapewa nafasi yake, au ndio ili asituonyeshe kile kitu chake?
we ndg yangu bamdogo yaan ni wa damu kabisa akitoka daddy shunie unafatia wwMamdogo kwani mimi sio nduguyo
aniite mamdogo tu hakuna namnaHivi sis shunie mimi baba mdogo wake..anatakiwa akuiteje vilee
hahahahhah hakii kupatwa kwa ndg sijawahi onaWewe ndio uniambie mie hata sielewi, sijui shangazi![emoji134] [emoji134] [emoji134]
Kupatwa kwa undugu.
hahahhaha
[emoji23][emoji23][emoji23]We tupangie tu undugu, ila utakapokuta tumewowana ndugu usishangae.
Mh tutajiongoza wenyeweSis hamuwezi mimi nipo nitawaongoza kwa busara
hahahhah ujue tutachambwa yule mama ana kichambo halaf bora achambe kiswahili asee sio kichambo cha lugha ya malkiaUwiiiii!! Yaani wewe kabisaaa utuongoze! Hiyo sifa uliipoteza siku ulohamia kwa jimama. Acha tu tujiongoze wenyewe.
[emoji16][emoji16] chizi wewe.hahahhah ujue tutachambwa yule mama ana kichambo halaf bora achambe kiswahili asee sio kichambo cha lugha ya malkia