List ya "Single Girls" ndani Ya Jf..

List ya "Single Girls" ndani Ya Jf..

Shikamoo bibi wifi[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Mweeeh!! Daby mbona katuweza.

Tutafanyaje sasa na hamna jinsi, ghafla kila mmoja anapewa nafasi yake, au ndio ili asituonyeshe kile kitu chake?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] katuweza kwani kidogo bado husna kuitwa shangazi
 
Uwiiiii!! Yaani wewe kabisaaa utuongoze! Hiyo sifa uliipoteza siku ulohamia kwa jimama. Acha tu tujiongoze wenyewe.
hahahhah ujue tutachambwa yule mama ana kichambo halaf bora achambe kiswahili asee sio kichambo cha lugha ya malkia
 
Back
Top Bottom