Habari wadau.
Kwa wale mashangazi na wajomba nazani tunajua kwamba miaka 12 iliyopita hakuna aliekuwa anaijua instagram.. facebook ndio ilikuwa inatamba kitambo ikisaidiwa na youtube.
Miaka ya 2013 na 2014 ndipo instagram iliteka kwa kishindo wa Tanzania. Watu wa mwanzo mwanzo kudominate instagram walikuwa Wema Sepetu , Diamond Plutnumz na Millard ayo. Na wakaja wengine kibao.
Hii ni top 10 ya watu waliotajirishwa na wanaendelea kutajirishwa na uwepo wa instagram hapa Tanzania. Hawa watu hata wakiambiwa leo hii walipie fee mamilioni ili wawepo instagram watakubalo tu. Maana instagram imewapa maisha sana.
Namba 10. Hamisa Mobetto.
Bila uwepo wa instagram Hamisa mobetto hasingepata endorsement kali na maisha aliyonayo sasa hivi.
Kwa kutumia instagram yake tu anasaini madili ya mamilioni ya fedha ambayo yamemuwezesha kuishi maisha mazuri, kujenga na hata kumiliki magari ya gharama.
Bila uwepo wa instagram hapa Tanzania kampuni kubwa kama Tigo wasingempa Hamisa Mobetto endorsement za hela nyingi, kampuni za kubet, za nywele na kampuni zingine kibao zisingemfata hamisa mobetto.
9. HAJI MANARA.
Haji manara ni mmojawapo ya watanzania waliofaidika sana na uwepo wa instagram hapa Tanzania. Manara amejua kuitumia instagram na kupata maisha mazuri. Endorsement za kutosha na hata fursa za ajira kwenye timu kubwa sababu ya kudominate instagram.
8. Elizabeth Michael (lulu)
Muigizaji maarufu ni mmojawapo ya watu waliofaidika sana na uwepo wa instagram hapa Tanzania. Amepata endorsement nyingi na pia kupata hata advantage kwenye kesi yake kutokana na umaarufu wake uliochangiwa sana na instagram. Na kujikuta kuwa mfungwa aliyehudumia kifungo cha mauaji kwa muda mfupi kuliko wote hapa Tanzania. Pia hata baada ya kifungo nguvu yake instagram ilimpa endorsement nyingi na fursa pia ya kutimiza ndoto ya wanawake wengi ya kuolewa na mwanaume mwenye kipato kikubwa.
7. MC DR CHENI.
kaka Cheni ni Mc maarufu ambaye amepata maisha mazuri sababu ya instagram. Miaka ya 2010s mwanzoni mpala 2010s mwishoni ndie alikuwa Mc namba moja kwenye soko la harusi. Kabla ya nafasi yake haijaporwa na Garab. Cheni ni mmojawapo ya wa Tanzania waliopiga sana hela sababu ya kujenga brand yao kwa instagram.
6. Maznat
Dada maarufu kwenye sector ya saloon kubwa ya kupamba ma bibi harusi. Na yeye amepiga sana hela sababu ya instagram. Miaka ya 2010s mwanzoni mpaka 2010s mwishoni ndie alikuwa mmiliki wa saloon namba moja kwa wateja wengi siku za harusi zao. Maelfu ya mabibi harusi wamepita kwa maznat. Alijua kuitumia Instagram kujibrand vizuri na kupiga sana hela. Mpaka leo hii nadhani ndie anashika namba moja katika saloonist waliopiga hela za wateja kuliko wote hapa Tanzania.
5. Fred Vunja Bei
Kijana mtafutaji Fred maarufu kwa jina la vunja bei. Na yeye ni mmojawapo wa vijana waliotajirika sana kutokana na uwepo wa instagram. Kupitia biashara yake ya nguo chini ya brand ya Vunja bei. Alipiga sana hela baada ya kujenga jina lake kupitia instagram. Na kufikia mpaka kupewa tenda ya mabilioni ya kutengeneza jezi ya simba. Instagram ina mchango mkubwa sana kwake.
4. MC GARAB aka Mc wa taifa.
Katika watu waliofaidika na uwepo wa instagram hapa Tanzania huwezi kumuacha Mc garab. Huyu kaka amejua sana kuitumia instagram kwa kutengeneza content za harusi anazosherehesha.
Hii imemfanya apendwe na wateja wengi wa harusi hasa wanawake. Kumkodi kwenye harusi tu unapaswa umlipe zaidi ya milioni 3 kwa ajili ya yeye kuja kuongea tu masaa matatu ukumbini kwenye harusi yako. Wateja wengi wanamfata garab sababu ya page yake instagram. Kwamba baada ya harusi anakupost kwenye page yako watu wanakupongeza.. leo hii harusi kubwa haikamiliki bila kumuita Garab awe Mc.
3. Mange kimambi.
App yake inayolipiwa buku buku na wapenda umbeya imepata wateja haraka sababu ya instagram. Mange kimambi kajua sana kufaidika na mtandao wa instagram.
2. Millard ayo.
Ni kijana mwingine aliefaidika sana na uwepo wa instagram hapa Tanzania. Endorsement nyingi na fursa nyingi amezipata sababu ya page yake ya instagram.
1. Diamond plutnumz.
Huyu ndie king wa kufaidika na instagram hapa Tanzania.
Haitajiki hata kumuelezea kila mtu anajua..
Kuonesha alivyo serious na instagram alihakikisha familia yake yote iwe na page instagram kuanzia mama, dada, watoto wake mpaka majirani zake. Brand yake ya wasafi ina page instagram za kumwaga sababu anajua instagram ilivyomtajirisha
HONOURABLE MENTION
Mwijaku , Wema Sepetu, Ali kiba,