List ya vijana 10 Tanzania waliobadilishwa maisha na ujio wa Mtandao. Bando zao zimewapa maisha mazuri

Mbona ujanitaja hapa Fundi manyumba au Clam vevo

List nzito sana kwenye hiyo top 10. Mtu kama clam vevo hawezi kupenya.

Yaani mwijaku, wema sepetu aachwe kwenye list halafu awekwe Clam vevo, si itakuwa wehu huo. Nimewataja wale strong candidates ambao wanaonekana kwa macho jinsi wanavyopiga hela kwa nguvu ya instagram.

Kumbuka Hiyo list hata rayvanny, harmonize, nandy, zuchu hawapo. Na hao wote wamewaacha mbali hao kina vevo
 
Basi sawa ngoja niende kwa mama...
Kula CHAPATI na marage
 
Mange kimambi cyo mtanzania (rejea uraia wake)
 
Kabla ya instagram alikua na blog Uturn
Haikuwa ikimuingizia pesa Mange alikuwa na u-turn.blogspot.com ilikuwa ya mashauzi yake muke ya mzungu umbea mambo ya mjini mpaka Sinta nae akafungua yake tulimjua Wachache akaja kujulikana TZ nzima sakata la uchaguzi Magufuli Lowassa ishu ya maandamano pale akavuma sanaa hakuna alokuwa hamjui Tz wenye kumpenda na kumchukia akaiona fursa wabongo wanapenda umbea kuliko siasa akafungua Application ya umbea kapiga sana pesa hivyo Instagram imempa pesa ndefu.
 
Instagram imewaongeza nguvu ya kutengeneza hizo pesa.

Kama walikuwa wanatengeneza 1000 kabla ya istagram baada ya instagram kuja bongo wanatengeneza 10,000 ama laki kabisa. Sababu ya nguvu yao instagram
Unaweza kunitajia vijana wanaoitegemea instagram 100%.
 
bila baba levo na mwijaku hii list ni batili
 
umeandika umbea zaidi kuliko uhalisia. yaani hata mjinga anaweza akakaa na kuandika huu uzi
Lulu ameshinda kesi ya kumuua kanumba sababu ya instagram? serious. umaarufu wa hao uliowataja una chanzo kingine, kisha ndo insta. Lulu alikuwa muigizaji tangu katoto
 
Umbea alianzia blog yake ya Umbea iliitwa Uturn...Ndiyo akaja Instagram.
Kwani post inasemaje U-turn blog haikuwahi kumlipa kumpa mafanikio Instagram aliona fursa wazo la application ya umbea likaja sababu ya wadau wa Instagram wanapenda umbea U turn naijua na nilikuwa na ID member kama Muddy Washington,Cmum,Marichuy Mrs Patel Baby wake Mange na kadhalika.
 
Mange kimambi cyo mtanzania (rejea uraia wake)
Sio Mtanzania ni Mnyarwanda??? Kavuliwa u Tanzania lini navyojua Mange ana Green Card ila bado raia wa Tz hautaki wa Marekani asipoteze mali zake za Urithi Tz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…