List ya vijana 50 wenye ushawishi yatolewa: Wapo Samatta, Kibatala, Millard Ayo, Ali Kiba, Msando

Tunaambiwa Makonda ni maarufu kwa nini hayumo humo?
Tutakata rufaa kama Dr Remmy alivyokata rufaa kwa ushindi Wa Masudi sura mbaya[emoji1] [emoji1]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Anawashawishi vijana kulinda tembo wetu. Asanteni.
 
Mbona clouds wao wamesema samata ndo namba moja then ago wa tatu huku kiba akishika nafasi ya sita while mond anaangukia nafasi ya tisa
 
Kwa ushawishi gani, kwa maendeleo gani aliyonayo...!??? Mziki gani kumshinda simbaa au Davidooo.....Labda kama ni kulaa ila hali halisii huoo ni ujingaa na upuuzi..
 
Mbona clouds wao wamesema samata ndo namba moja then ago wa tatu huku kiba akishika nafasi ya sita while mond anaangukia nafasi ya tisa
Kiujumla kiba samata no1, kiba wa6, mondi wa7......lkn kiba namba1 kwa upande entertainment
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…