NIYOMBARE JF-Expert Member Joined Aug 26, 2016 Posts 3,718 Reaction score 4,228 Jan 20, 2018 #161 Hichi ni kichekesho.
Senator Hans JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 600 Reaction score 377 Jan 20, 2018 #162 real G said: Chanzo ni Clouds Media, Facebook Mbwana Samata ameongoza list ya vijana 50 wenye ushawishi nchini Tanzania, Millard Ayo ashika nafasi ya 3, Ali Kiba amfunika Diamond Platnumz View attachment 677091 Click to expand... N list ya kikuda though kuna baadhi n influential bt others Noo
real G said: Chanzo ni Clouds Media, Facebook Mbwana Samata ameongoza list ya vijana 50 wenye ushawishi nchini Tanzania, Millard Ayo ashika nafasi ya 3, Ali Kiba amfunika Diamond Platnumz View attachment 677091 Click to expand... N list ya kikuda though kuna baadhi n influential bt others Noo
komanyahenry JF-Expert Member Joined Sep 15, 2017 Posts 903 Reaction score 1,361 Jan 20, 2018 #163 real G said: Chanzo ni Clouds Media, Facebook Mbwana Samata ameongoza list ya vijana 50 wenye ushawishi nchini Tanzania, Millard Ayo ashika nafasi ya 3, Ali Kiba amfunika Diamond Platnumz View attachment 677091 Click to expand... Nae Riyama kumbe ni kijana, nilikuwa cjui
real G said: Chanzo ni Clouds Media, Facebook Mbwana Samata ameongoza list ya vijana 50 wenye ushawishi nchini Tanzania, Millard Ayo ashika nafasi ya 3, Ali Kiba amfunika Diamond Platnumz View attachment 677091 Click to expand... Nae Riyama kumbe ni kijana, nilikuwa cjui
Pakawa JF-Expert Member Joined Mar 11, 2009 Posts 7,973 Reaction score 13,647 Jan 20, 2018 #164 Mmetuwekea wauza ny&$chi ndio influential hahahhhhh bongo buana Wengi hawana manufaa kwa taifa zaidi ya uma&&&&ya tuwe serious na mambo mengine msando mzee wa kunyemelea kuwinda kuhamahama naye eti yumo sijui kina sepetunga etc Pangeni upya msichanganye kondoo na mbwa zizini Nonsense!
Mmetuwekea wauza ny&$chi ndio influential hahahhhhh bongo buana Wengi hawana manufaa kwa taifa zaidi ya uma&&&&ya tuwe serious na mambo mengine msando mzee wa kunyemelea kuwinda kuhamahama naye eti yumo sijui kina sepetunga etc Pangeni upya msichanganye kondoo na mbwa zizini Nonsense!
N ngurumoo JF-Expert Member Joined Jun 19, 2016 Posts 582 Reaction score 295 Jan 20, 2018 #165 real G said: Chanzo ni Clouds Media, Facebook Mbwana Samata ameongoza list ya vijana 50 wenye ushawishi nchini Tanzania, Millard Ayo ashika nafasi ya 3, Ali Kiba amfunika Diamond Platnumz View attachment 677091 Click to expand... Hakuna timu ya Riadha, Kila mtu anakimbia kwa miguu yake. Pambana na hali yako.
real G said: Chanzo ni Clouds Media, Facebook Mbwana Samata ameongoza list ya vijana 50 wenye ushawishi nchini Tanzania, Millard Ayo ashika nafasi ya 3, Ali Kiba amfunika Diamond Platnumz View attachment 677091 Click to expand... Hakuna timu ya Riadha, Kila mtu anakimbia kwa miguu yake. Pambana na hali yako.