List ya vijana 50 wenye ushawishi yatolewa: Wapo Samatta, Kibatala, Millard Ayo, Ali Kiba, Msando

List ya vijana 50 wenye ushawishi yatolewa: Wapo Samatta, Kibatala, Millard Ayo, Ali Kiba, Msando

Mmetuwekea wauza ny&$chi ndio influential hahahhhhh bongo buana

Wengi hawana manufaa kwa taifa zaidi ya uma&&&&ya tuwe serious na mambo mengine
msando mzee wa kunyemelea kuwinda kuhamahama naye eti yumo sijui kina sepetunga etc

Pangeni upya msichanganye kondoo na mbwa zizini

Nonsense!
 
Back
Top Bottom