List ya vijana 50 wenye ushawishi yatolewa: Wapo Samatta, Kibatala, Millard Ayo, Ali Kiba, Msando

List ya vijana 50 wenye ushawishi yatolewa: Wapo Samatta, Kibatala, Millard Ayo, Ali Kiba, Msando

aliyeweka hii hayupo tz, sasa sijui amepata wapi data? Mange kimambi anaongoza. zaidi ya watu 80% ya waliowataja hapo mimi siwajui na muda wote nipo active kwenye mitandao na kimaisha.
 
Ushawishi wa nini? Kuvuta Shisha, Mo dewji ni mzee siku hizi? Halafu simuoni Yule WA uenezi kutoka green, hivi sio kijana Yule?
 
Ingeitwa tu list ya wasanii 50 wenye ushawishi
 
Back
Top Bottom