tunalazimika
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 1,098
- 259
kwa huyo kukosa ni bora uchaguzi ungerudiwaVicky kamata nae ndani ya mjengo!!!
Mhhhhhh!!!!!
Ndege ya Uchumi,
Unaweza kuwa right. Assumption yangu ilikuwa kwamba waliopiga kura za ubunge pia walipiga kura za urais.
Hiyo haikuwa detailed analysis ila nilitaka kuangalia uhusiano wa kura za wabunge na marais wao. Inaelekea kila kitu kimekuja kama ilivyotegemewa upande wa CHADEMA. Slaa alikuwa maalufu kuliko wabunge wake.
Upande wa CCM, tuliambiwa JK alikuwa maarufu kuliko wabunge wake lakini matokeo haya yanaonyesha huenda haikuwa kweli.
Du!Jamani mwenye taarifa kamili nasikia Kibonde naye yumo kwenye viti maalum.
ccm vit maalum
E kibonde
Judith wambura
Vick kamata
etc
Kama angekuwa bado yupo CHADEMA angeambulia viti maalum hata vya udiwani. Huko sijui kama amepata.Nakaaya kapata kwa ccm Au wamemtosa?
Hapa ndio katiba yetu ina udhaifu mkubwa.Hawa wabunge wanamuwakilisha nani bungeni? Constituency yao iko wapi na wanawajibika kwa nani ?
Ukiangalia historia ya meteoric rise ya magoigoi wengi kama Kikwete imeanza humuhumu kwenye ubunge wa kupewa mezani.
Taratibu mnapandikiziwa hata mafamba, mpaka mnayazoea.
Real talk.
kwa huyo kukosa ni bora uchaguzi ungerudiwa
ccm vit maalum
E kibonde
Judith wambura
Vick kamata
etc
mkuu ccm walikuwa na viti maalumu 80 bunge lilokwisha,angalia mtandao wa bunge.chadema 6, cuf 14
ccm vit maalum
E kibonde
Judith wambura
Vick kamata
etc
Hawa wabunge wanamuwakilisha nani bungeni? Constituency yao iko wapi na wanawajibika kwa nani ?
Ukiangalia historia ya meteoric rise ya magoigoi wengi kama Kikwete imeanza humuhumu kwenye ubunge wa kupewa mezani.
Taratibu mnapandikiziwa hata mafamba, mpaka mnayazoea.
Real talk.
duuh nyumba ndogo zote lazima ziingie mjengoni!
Kiungani,
Hapo juu hesabu zako zimenichanganya na nimeshindwa kukuelewa.
Nilichoandika ni kwamba inaelekea kwenye ubunge CHADEMA wamepata kura chache kuliko za urais. Kitu ambacho nilitegemea maana Slaa alikuwa maarufu kuliko wabunge wake. Kama wana viti 23 katika 102 ina maana wana around 23% ya kura za ubunge. Lakini kwasababu unatoa kura za vyama vidogo (kwasababu havishiriki mgao wa viti maalum kwa sababu ya kukosa at least 5% ya kura) basi hiyo asilimia 23 inashuka na kuwa chini ya asilimia 23. Ndio maana nika conclude kwamba wabunge wamepata kura chache kuliko rais wao maana Slaa alipata zaidi ya 26%
Upande wa CCM, kama wana viti at least 67 ina maana wamepata kura around asilimia 67 za wabunge wakati rais wao alipata kura asilimia 61. Hivyo conclusion yangu ya kwamba wabunge wamepata kura nyingi kuliko rais wao.
Hiyo ya wabunge kuongezeka kutoka 6 kwenda 23 ilikuwa haina uhusiano na analysis ya hapo juu. Ilikuwa ni information ya ziada tu.
Na hiyo ya CCM kutoka 58 kwenda 67 pia ilikuwa information ya ziada. Ndio maana nikaonyesha effect ya 40% maana mtu mwingine angeshangaa iweje CCM wamepata kura chache lakini viti viongezeke?
Nafikiri umenielewa!