jonas amos
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 3,645
- 4,438
Dele Alli
Ha ha ha!Mkuu kama una siti nipe nafasi ya mtu mmoja hapo nilimsahau.
PAUL POGBA.
Majina ya Paul ni taabu tupu.
Humjui vizuri CadabraZlatan huwa ni utani muda mwingi anapoongea be fair kijana
Ziatan hajioni ana tatizo la mdomo usiyo na breki, ukimuuliza fyoko anajibu fyokoloMimi nafikiri hakuna kama Zlatan hasa linapokuja suala la kujisifu, dharau na nyodo.
Ha ha ha!
Bora nikauze nyanya na vitunguu kuliko kucheza klabu ya Simba.
Ana uwezo wa kawaida tuJamaa anajiona halafu ni jinga kuliko kawaida!
Alikuwa akijiita B52Kama una mkumbuk nicklas bendner mDenmark, jamaa nilikuwa namkubali sana, sema anajiona.
Lazima mwakani mmoja kati Mou au yeye aondoke.Ana uwezo wa kawaida tu
Nahisi MouLazima mwakani mmoja kati Mou au yeye aondoke.
Alikuwa akijiita B52
Sergio Busqet
Jamaa anajiona halafu ni jinga kuliko kawaida!
Ana utoto flanAaaaa FORTALEZA. Huyu fundi hajioni hata kidogo.
Ronaldo wa mtumba yule mreno mpaka shedo.. Anajinadi utafikiri ana talent kumbe mazoezi.
Cr7
Diego Costa
Siku zote maskin anamchukia tajiri, kipato chake cha lisaa limoja tu ni kipato chako cha miezi sita kama sio mwaka...
Luis Nani asili yake Cape VerdeWanaojivuna zaidi ni hawa
1 Neema mtoto wa mama
2 Cr7
3 robinho,huyu dogo bahati nzuri hakufika mbali akapotea, kalikuwa kanajiona sana kama demu.
4 Diego costa, japo huwa ananifurahisha sana na fujo zake [emoji3][emoji3]
5 Luis Nani, mwethiopia huyu, jamaa anawivu sana kwa wenzie
6 Asamoa Gyan ni mwafrika ambae sikutokea kumpenda, ana majivuno sana.
Luis Nani asili yake Cape Verde