List ya wana jf wanaojitupia na mitindo wanayoipenda(mikato)..

List ya wana jf wanaojitupia na mitindo wanayoipenda(mikato)..

Ila mkuu umenifanyia ramli chonganishi! Kama ni jirani yangu hapa ninapoishi nijuze tu maana sio kwa kunipatia huku[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]

“ᴬⁱⁿ̇`ᵗ ᵃ ʷᵒᵐᵃⁿ ᵃˡⁱᵛᵉ ᵗʰᵃᵗ ᶜᵃⁿ ᵗᵃᵏᵉ ᵐʸ ᵐᵒᵐᵐᵃ`ˢ ᵖˡᵃᶜᵉ”
😂😂😂😂 umetisha mkuu Kumbe kweli
 
Nimesoma ulivyoandika navyovaa uzi wako wote umekuwa batili 😂😂

Vitenge??😂😂😂
Short dress??

Mi mtu wa jeans/suruali sanaaa
Sipendi sketi wala gauni
Sio mbaya at least umenitokomeza ujinga 😂😂
 
Umejitahidi kuniotea
Nikiwa nyumbani au visafari vya hapa na pale ni madera kwenda mbele tena yale mapana nabanisha mikono tu, mara 1 1 navaa tofauti.
Nikienda sehemu zangu za kujidai napigilia[emoji158][emoji155][emoji153], ila nguo yoyote fupi si vai sababu mguu wangu una kovu kama lote, niliunguaga na chai

Sent using Jamii Forums mobile app
Bila Shaka mama madera 😂😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umetisha mkuu Kumbe kweli
Ila umekosea kwa kaka mkubwa Mshana Jr muda huu wa mchana huwa amevaa ngozi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]

“ᴬⁱⁿ̇`ᵗ ᵃ ʷᵒᵐᵃⁿ ᵃˡⁱᵛᵉ ᵗʰᵃᵗ ᶜᵃⁿ ᵗᵃᵏᵉ ᵐʸ ᵐᵒᵐᵐᵃ`ˢ ᵖˡᵃᶜᵉ”
 
Ila umekosea kwa kaka mkubwa Mshana Jr muda huu wa mchana huwa amevaa ngozi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]

“ᴬⁱⁿ̇`ᵗ ᵃ ʷᵒᵐᵃⁿ ᵃˡⁱᵛᵉ ᵗʰᵃᵗ ᶜᵃⁿ ᵗᵃᵏᵉ ᵐʸ ᵐᵒᵐᵐᵃ`ˢ ᵖˡᵃᶜᵉ”
😂😂😂
 
Hahahahaha

Mkuu ukiachana na suti ambayo huwa navaa occasionally,suruali ya kitambaa nina muda mrefu sana sijavaa,huwa kwa ofisini navaa cadet sana!
 
Na huyu mdada Sky Eclat pia umemkosea maana kwa mtizamo wangu nahisi anapenda kuvaa blouse zenye mikono mirefu na skirt zenye marinda, sometimes anavaa cadet rangi ya olive au nyeusi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]

“ᴬⁱⁿ̇`ᵗ ᵃ ʷᵒᵐᵃⁿ ᵃˡⁱᵛᵉ ᵗʰᵃᵗ ᶜᵃⁿ ᵗᵃᵏᵉ ᵐʸ ᵐᵒᵐᵐᵃ`ˢ ᵖˡᵃᶜᵉ”
 
Back
Top Bottom