List ya wana jf wanaojitupia na mitindo wanayoipenda(mikato)..

List ya wana jf wanaojitupia na mitindo wanayoipenda(mikato)..

lucas mobutu -huyu anavaaga mikato ya kiutu uzima tuu yaani suruali tumboni na mashati ya vitambaa pia

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] [emoji115]Mobutu popote ulipo nakusalimia tu mm kumbe ndio mikato yako hiyo
mambo kipenzi changu shunie, nakupenda ila kufunga kwako PM kunakukosesha ndoa
kuhusu nguo mimi huvaa cardets hasa za ralph laurean nk , tshirts za form 6 ,mashati haya modern mfano ya drafts nk, pia nina jeans chache,viatu navaa vya kawaida tu kama vijana wengi, sijafikia umri wa kuvaa kizee 😀
 
Cardets,suruali za vitambaa,mashart na flana za form six ndiyo mitoko yangu yakila Leo
Bila kusahau vazi LA kiasili shuka shingoni siachi
 
Back
Top Bottom