N ndoto2020 JF-Expert Member Joined Feb 25, 2017 Posts 1,683 Reaction score 1,438 Dec 28, 2025 #1 Kama kichwa cha habari kinavyosema naomba list ya waliofanikiwa baada ya miaka 50 Tanzania?
Nyafwili JF-Expert Member Joined Nov 27, 2023 Posts 6,168 Reaction score 15,748 Dec 28, 2025 #2 Unavyo sema kufanikiwa, unamaanisha nini?? 🤔 🤔
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 61,672 Reaction score 178,673 Dec 28, 2025 #3 Kufanikiwa Ina maana pana sana bwashee
S Shytown JF-Expert Member Joined Nov 2, 2025 Posts 1,196 Reaction score 2,236 Dec 28, 2025 #4 Ukishaona kwenye Nchi wasomi wakubwa wanakimbilia kwenye siasa ili wafanikiwe, jua tu kuna tatizo mahala....
Ukishaona kwenye Nchi wasomi wakubwa wanakimbilia kwenye siasa ili wafanikiwe, jua tu kuna tatizo mahala....
N ndoto2020 JF-Expert Member Joined Feb 25, 2017 Posts 1,683 Reaction score 1,438 Dec 28, 2025 Thread starter #5 Onithodoros Moubata said: Unavyo sema kufanikiwa, unamaanisha nini?? 🤔 🤔 Click to expand... yaani anapata ubunge uwaziri moja kwa moja na kuacha alama kwenye wizara au sector yake
Onithodoros Moubata said: Unavyo sema kufanikiwa, unamaanisha nini?? 🤔 🤔 Click to expand... yaani anapata ubunge uwaziri moja kwa moja na kuacha alama kwenye wizara au sector yake
N ndoto2020 JF-Expert Member Joined Feb 25, 2017 Posts 1,683 Reaction score 1,438 Dec 28, 2025 Thread starter #6 min -me said: Kufanikiwa Ina maana pana sana bwashee Click to expand... anayeingia kwenye kugombea kwa mara ya kwanza akiwa na miaka 50 plus na kupanda vyeo na kuacha alama kwenye jamiii
min -me said: Kufanikiwa Ina maana pana sana bwashee Click to expand... anayeingia kwenye kugombea kwa mara ya kwanza akiwa na miaka 50 plus na kupanda vyeo na kuacha alama kwenye jamiii
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Dec 28, 2025 #7 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: Mahondaw