List ya wanawake humu ndani ambao wako peace,wasio na shida na watu..(wanawake)..

Sawa mkuu labda next time tutakuepo kwenye list[emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora..... ndio nawajua wanawake wa humu maana majina na comment huwa nashindwa kujua whose who

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] wenye nyodo hatumo .......haina shida mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu bidada Sky Eclat ni mpole sana jamani . Hana makuu na hapendi shari na mtu. Mtu akimjibu hovyo kwenye uzi basi huwa harudi tena kwenye uzi huo. Labda wako wengi kama yeye humu lakini huyu namsoma sana hasa kwenye siasa na threads anazoanzisha pia hupenda kuzisoma.
 
Sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…