List ya wanawake humu ndani ambao wako peace,wasio na shida na watu..(wanawake)..

Yuko njema sana, namkubali Mzigua90 popote ulipo agiza juisi....

Mkuu unampata emmyta?? Ukimwacha mtoto wa kizigua ninaemkubali jf ni emmyta nasikia tu kabadili id.. Sijamwona huu mwaka sasa umekatika...

Kama anasoma hii komenti agonge like ninjue.. [emoji74]
Hakikaa mwanadada anaejilewa halafu haringi ringi kise@@@nge huwa namkubali sana..

Mzigua90 anasifa hizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee kuna single maza mmoja umemuweka kwenye list yako amefanya ni-invalidate.

Huyo maza kila mara anagombana na wanaume humu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna Dada flani hivi Shombeshombe wakuitwa @khatwe namkubali kuliko navyomkubali demu wangu. Pia namkubali @cultural gal..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…