List ya wanawake humu ndani ambao wako peace,wasio na shida na watu..(wanawake)..

[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] sitaki kua makinikia atiii

Sent using Jamii Forums mobile app
Daah jamani eeh! Makinikia yako yatakuwa yanauzika ujue πŸ˜‚πŸ˜‚
wa kwanza kwenye list makinikia zeshcriss πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸšΆβ€β™€οΈπŸšΆβ€β™€οΈπŸšΆβ€β™€οΈπŸšΆβ€β™€οΈπŸšΆβ€β™€οΈπŸšΆβ€β™€οΈπŸšΆβ€β™€οΈ
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Yani nimechelewa kuona huu uzi!
Mie na masikhara damu damu mkuu pancho boy ...ila sipendi ujinga tu
 
Nimecheka. Hivyo wakikupa likes watatu utamjuaje sasa?

Au ndio utapiga ana ana do. πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Mimi huyu mother confessoe hata akitaka awe mke wangu wa pili sina khiyana kabisa.sisi waislamu tunaoruhusiwa kuwaowa wakristo basi nachagua huyu mother naoa.

Yaani nikiona njaa naenda kwenye restarant yake napiga menyu.

Gharama na bajeti ya chakula inakufa kabisa.

She is so smart.
ila sijajia bwana mkubwa Mwifwa ana ajenda nae ipi
 
[emoji81] [emoji81] [emoji81] yaani acha tu.. Itabidi nipite na wote nimpate wallah


Bt mi naona ka like kamoja atakua ndio yeye
Nimecheka. Hivyo wakikupa likes watatu utamjuaje sasa?

Au ndio utapiga ana ana do. [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…