List ya wanawake humu ndani ambao wako peace,wasio na shida na watu..(wanawake)..

List ya wanawake humu ndani ambao wako peace,wasio na shida na watu..(wanawake)..

[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] sitaki kua makinikia atiii

Sent using Jamii Forums mobile app
Daah jamani eeh! Makinikia yako yatakuwa yanauzika ujue 😂😂
wa kwanza kwenye list makinikia zeshcriss 😂😂
 
🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️
 
Baada ya list ya kwanza ku base upande wa wanaume. Japo kulikuwa kuna wanawake wachache..
Sasa baada ya kuwasoma kwa muda mrefu nawamwaga hapa..
Wale wenye nyodo nafasi zao hazipo..

Shadeeya -
Blaki womani-
Shunie -
Aggyjay -
Ledada -japo ana mikogo sio
Hawachi -
Khantwe -japo anapenda sana kuita watu wenzie watoto. 😂
Victoire -shabiki wa Man u.
Joanah -japo hapendagi masikhara.
Ihela -huyu katulia sana atakuwa kaolewa.
Warumi -huyu mmbea, ila yeye anaongea na kila mtu, japo jinsia yake inatatiza 😂

Mother confeser -huyu mtu yeye hanaga hiyana ku chit chat na watu, sijawahi kumuona anatukana. (naskia ana mgahawa 😂

Numbisa -kwenye ule uzi wetu pendwa wa isidingo yeye Mwenyekiti pale, pia anapenda kufurahi na watu..

Rebecca89-nahisi nimekosea jina ila huyu huwa ana quote kwa yeyote anayeona yuko sawa. Hana shida..

madam B - huyu kwa kujichanganya na watu ndo anapenda. (japo sijamuona kitambo), anapenda kuchangamsha genge hasa lile la chini kabisaaa....

Madam S-huyu ni mtu mmoja mpole sana japo huwa habagui comment..

demiss -huyu mtaalamu wa hapa dom kwetu yeye yuko fresh ila anapenda masikhara na kuchangamsha genge,
Hivyo naye anaingia kwenye list!..



Amu -huyu saivi simuoni ila yuko powa sanaa. ushahidi?? Alini follow so anafaa kukaa kwenye list..

Aghata -huyu anaonekana ni mtu mzima ila haimzuii kujichanganya na watu hapendi mzaha..

Wengine mtanisamehe hampo kwa hii list kutokana na vigezo..
😂😂😂😂😂😂

Yani nimechelewa kuona huu uzi!
Mie na masikhara damu damu mkuu pancho boy ...ila sipendi ujinga tu
 
Yuko njema sana, namkubali Mzigua90 popote ulipo agiza juisi....

Mkuu unampata emmyta?? Ukimwacha mtoto wa kizigua ninaemkubali jf ni emmyta nasikia tu kabadili id.. Sijamwona huu mwaka sasa umekatika...

Kama anasoma hii komenti agonge like ninjue.. [emoji74]
Nimecheka. Hivyo wakikupa likes watatu utamjuaje sasa?

Au ndio utapiga ana ana do. 😅😅😅😅
 
Mimi huyu mother confessoe hata akitaka awe mke wangu wa pili sina khiyana kabisa.sisi waislamu tunaoruhusiwa kuwaowa wakristo basi nachagua huyu mother naoa.

Yaani nikiona njaa naenda kwenye restarant yake napiga menyu.

Gharama na bajeti ya chakula inakufa kabisa.

She is so smart.
ila sijajia bwana mkubwa Mwifwa ana ajenda nae ipi
 
[emoji81] [emoji81] [emoji81] yaani acha tu.. Itabidi nipite na wote nimpate wallah


Bt mi naona ka like kamoja atakua ndio yeye
Nimecheka. Hivyo wakikupa likes watatu utamjuaje sasa?

Au ndio utapiga ana ana do. [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom