List ya wanawake kumi wanaoshika vyeo vikubwa bongo

List ya wanawake kumi wanaoshika vyeo vikubwa bongo

Status
Not open for further replies.
Mh.anna makinda amekuwa mbunge wa njombe kusini kuanzia mwaka 1995 na siyo mwaka 1975 kama ulivyoeleza.hayati makwetta ndiye aliyekuwa mbunge mwaka 1975.
 
listi ya ajabu kweli, hata Mhavile ndani, sasa sijui kwanini asha baraka hayumo

pia sidhani kama akina migiro wanastahili maana kwa sasa hana chochote zaidi ya jaramba na jezi ya kijani

lazima pia kuwe na criteria
 
Ongeza Ananilea Nkya, Helen Kidjo Bisimba na Joyce Kiria. Wote hao wameonesha kwa vitendo kwamba sio WAOGA. kitu ambacho watanzania wengi kinatusumbua. lakini hata katika Biblia, tunasoma kwamba wanawake ndio walidiriki kwenda kaburini wakati wanaume, tena mitume, walijifungia ndani!!
 
Marital status zao?-Mwanamke shupavu ni yule aliyeweza kuitunza ndoa yake,alafu akaweza kuexcel kwenye career pia.

At lease najua
Mama Rwakatare-divorced
Makinda-divorced

Hapo una -"assume" kwamba katika kila divorce, mwenye kosa ni mwanamke, ambapo sidhani kwamba ni sahihi. tumjadili mtu kwa vitendo vyake, siyo kwa status yake.
 
Umemuacha mama mkulu wa kaya : anasifa za kufunga barabara kwa saa kadhaa kumpisha apite na pia kukutana na michele obama & laura bush huku akisoma hotuba kama imla au pengine shairi la kumaliza shule ya msingi wakati anajua fika kuwa yuko kwenye mkutanao wa kimataifa na dunia nzima inamtizama kwa ung'eng'e wake wa kuunga unga na super glue / ulimbo. sema tz nchi yenye maajabu ya kipekee duniani.
 
Kuna waliokuwa divorced na hawajaichangia nchi hii chochote. Acha mambo ya kizamani.
Marital status zao?-Mwanamke shupavu ni yule aliyeweza kuitunza ndoa yake,alafu akaweza kuexcel kwenye career pia.

At lease najua
Mama Rwakatare-divorced
Makinda-divorced

Shame.

Asha rose ungemtoa hapo-aliunder perform vibaya sana UN.
 
Mama Matalent (Madam Rita )

Mama wa Wama (Mwl Salma Kikwete )

Na hawa MaRC na Ma DC wa JK
 
Kuwaibia watu wa kusini korosho zao na kuolewa na kada mwenzake MSEKWA au? kama historia ni hivi basi ata vicky kamata naye yupo....

Vick Kamata umeenda mbali. Kama mke wa Msekwa yumo basi hata Lwiza Mbutu anapaswa awepo
 
Ongeza Ananilea Nkya, Helen Kidjo Bisimba na Joyce Kiria. Wote hao wameonesha kwa vitendo kwamba sio WAOGA. kitu ambacho watanzania wengi kinatusumbua. lakini hata katika Biblia, tunasoma kwamba wanawake ndio walidiriki kwenda kaburini wakati wanaume, tena mitume, walijifungia ndani!!

Duh! Hadi Joyce Kiria?! Ngoja niendelee na swaumu...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom