Chini unamanisha nini?
Au ndio degree za Chupiii!
nimeuliza tu maana aliyeleta uzi ndio kasema kuna Shahada za juu! ninavyofahamu mimi rankin za taaluma zinaanza na Cheti (Certificate), Stashahada (Diploma), Stashahada ya juu (Advanced Diploma), Shahada (Degree), Shahada ya Uzamili (Masters), Shahada ya Uzamivu (PHD), ........
NB: Kuna ambazo nimeziruka baada ya first degree sijui majina yake e.g Post Graduate Diploma