Nimekuja mpendwa.
Duu aisee kwa hili inabidi akuombe umuandikie biography yakeAliyekudanganya Sky Eclat ni wa uswazi amekupata haswaa.
Huyo ni daktari asiyekuwa na makuu
Halafu hakai uswazi,anakaa ushuani huyo ila anapenda kujimix tu na kila mtu.
Sema sasa!Nipo hapa my kaka, ndio ulipotelea wapi?
Umepotea, missed u lotsLike mother like daughter!
How are you fisadi? Missed you.
Ngoja nifikirie kwanza!Sema sasa!
Ulinimiss eeeh?
Semaaaa.....
Yaani acha tu, tunakimbizana na taifa lijalo ambalo hata sijui litakuaje!!
Hukuniss kabisa?Ngoja nifikirie kwanza!
Wa mwishobkwenye hiyo orodha
Ndio nafikiria kwanza kama nilikumiss maana hukuniaga, kwahiyo nimekununia.Hukuniss kabisa?
Mbona mimi nilikumiss sana sasa!
Ndio nafikiria kwanza kama nilikumiss maana hukuniaga, kwahiyo nimekununia.
Sijawahi kufunga pm yangu.Aiiiish jamani.
Umefunga PM yako nikashindwa kukuaga.
Dogo umedhihirisha unapigaga puriEti anakufahamu unandoto nyevu