List ya wanawake warembo JF

List ya wanawake warembo JF

Aliyekudanganya Sky Eclat ni wa uswazi amekupata haswaa.

Huyo ni daktari asiyekuwa na makuu

Halafu hakai uswazi,anakaa ushuani huyo ila anapenda kujimix tu na kila mtu.
Duu aisee kwa hili inabidi akuombe umuandikie biography yake
 
Hivi Paprika yuko wapi ?

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom