Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo List Lara1 hayupo basi haijakamilikaBaada ya kupotea kidgo na kukuta kuna ka mtindo ka kutoa list sasa nmeamua kuja na list ya wanawake wenye mvuto humu ndani
Ambao kila mwanaume anatamani kuwa nao hawa wafuatao ni warembo haswa hii ni kutona na research niliyoifanya na pia wanashobokewa sana.
1.Girl next-door .ila ni jasusi
2.Shunie.
3.Dark angel.
4.Misstrace . kiportaple
5.Numbisa. Ila ni mchekeshaji kma ebitoke
6.Curious gal. No comment
7.Demi. Shape like vera sidika
8.Maserati..
9.Sky Eclat. Tatzo ni wauswazi
10.Faiza Fox. huyu ni mama yetu lakn ni mrembo
Hawa ndyo wenye mvuto na wanaopendwa zaidi humu
mimi huyuhuyu?[emoji49] [emoji49]anhaaaa... haya leta fimbo nimchape...
Unajua hako ka aggyjay ni hivi majuzi tu kameacha tabia yake ya kukojoa kitandani
Mkojo kama wa Tundu Lissu...
muulize yeye...[emoji38]
hahahahahah mie simooooooMkojo kama wa Tundu Lissu...
Uchochezi...
teh tehmuulize yeye...[emoji38]
FAnajinsia gan?
Naogopa kuwatajaMfano yupi?
mbona mm hujaniweka wakati mm ndo missBaada ya kupotea kidgo na kukuta kuna ka mtindo ka kutoa list sasa nmeamua kuja na list ya wanawake wenye mvuto humu ndani