List ya wasanii wanaoingiza pesa nyingi Africa Mashariki

Hii ni yakibongo copyright management ilizinduliwa mwaka huu P Funk ni moja ya maboss. Wanaangalia nyimbo zinazopigwa sana kwenye radio tv stations
 
Attachments

  • 1438769006818.jpg
    68.8 KB · Views: 366
Hii ni yakibongo copyright management ilizinduliwa mwaka huu P Funk ni moja ya maboss. Wanaangalia nyimbo zinazopigwa sana kwenye radio tv stations
halafu wanawapa hela au ? au ni rank tu mkuu
 
halafu wanawapa hela au ? au ni rank tu mkuu

Wanapata pesa mkuu hakuna kitu cha bure sikuhizi lakini bado hawajatangaza nani kapokesa sh ngapi ndio imezinduliwa miez michache iliyopita.
 
Wanapata pesa mkuu hakuna kitu cha bure sikuhizi lakini bado hawajatangaza nani kapokesa sh ngapi ndio imezinduliwa miez michache iliyopita.
duu sawa ila itakuwa na manufaa zaidi kwa watanzania mana msanii kama wiskid au davido 5m ananunua viatu yote hiyo ndogo kwao pesa yetu haina thamani
 
duu sawa ila itakuwa na manufaa zaidi kwa watanzania mana msanii kama wiskid au davido 5m ananunua viatu yote hiyo ndogo kwao pesa yetu haina thamani

Haha sawa ni ndogo lakini fikiria kama anaipata hyo pesa katika nchi kibao za africa ni pesa kubwa inakua.
Kama diamond anavyopata Kenya now Tz na nigeria huko inakua nipesa nyingi ukichanganya ambazo analetewa tu.
 
hapo sawa duu kweli mziki unalipa sasa hivi sijui na mm niachie single yangu ???
 
lady jaydee hayupo na chameleon yupo hiyo nafasi labda itakuwa wameangalia show wanazopiga

hapa sio shows ni redio na tv playing log yaani ni mara ngapi wimbo wako ulicheza redio au tv ndio bases ya payment zinaitwa copy rights dues au hati miliki ya msanii!!! hapa kenya any place clubs, dala dala ,kinyozi,ofisi name it if you intend to play entertainment lazima ulipe wasanii kupitia MCSK na producers wana chama yao pia inaokota pesa kwa niaba yao! inaitwa KAMP!!
 
Hii ni yakibongo copyright management ilizinduliwa mwaka huu P Funk ni moja ya maboss. Wanaangalia nyimbo zinazopigwa sana kwenye radio tv stations

wakiangalia wanalipa wasanii au ni tutengeza top 10 na 20 story inatimia kwa chart!!!
 
good system
 
vingesaidia kwa nn wamepanga hivyo

Hivi kizungu ni shida. Mbona maelezo yote yapo hapo juu. Ngoja nifupishe kwa wale ambao wanuliza uliza maswali. Wanaongelea mrahaba yaani TV na Redio kila zinapopiga muziki wa mtu fulani kuna hela zinapaswa kumlipa huyo msanii. Huu utaratibu inawezekana kwa bongo haupo. Kwa hiyo music wa diamond umeongoza sana kwa kupigwa nchini Kenya kwahiyo amepata mrahaba Tsh 6m kwa miezi mitatu kutoka T?V na Redio za Kenya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…