BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,810
- 5,773
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
halafu wanawapa hela au ? au ni rank tu mkuu
duu sawa ila itakuwa na manufaa zaidi kwa watanzania mana msanii kama wiskid au davido 5m ananunua viatu yote hiyo ndogo kwao pesa yetu haina thamaniWanapata pesa mkuu hakuna kitu cha bure sikuhizi lakini bado hawajatangaza nani kapokesa sh ngapi ndio imezinduliwa miez michache iliyopita.
duu sawa ila itakuwa na manufaa zaidi kwa watanzania mana msanii kama wiskid au davido 5m ananunua viatu yote hiyo ndogo kwao pesa yetu haina thamani
hapo sawa duu kweli mziki unalipa sasa hivi sijui na mm niachie single yangu ???Haha sawa ni ndogo lakini fikiria kama anaipata hyo pesa katika nchi kibao za africa ni pesa kubwa inakua.
Kama diamond anavyopata Kenya now Tz na nigeria huko inakua nipesa nyingi ukichanganya ambazo analetewa tu.
hapo sawa duu kweli mziki unalipa sasa hivi sijui na mm niachie single yangu ???
lady jaydee hayupo na chameleon yupo hiyo nafasi labda itakuwa wameangalia show wanazopiga
Hii ni yakibongo copyright management ilizinduliwa mwaka huu P Funk ni moja ya maboss. Wanaangalia nyimbo zinazopigwa sana kwenye radio tv stations
good systemhapa sio shows ni redio na tv playing log yaani ni mara ngapi wimbo wako ulicheza redio au tv ndio bases ya payment zinaitwa copy rights dues au hati miliki ya msanii!!! hapa kenya any place clubs, dala dala ,kinyozi,ofisi name it if you intend to play entertainment lazima ulipe wasanii kupitia MCSK na producers wana chama yao pia inaokota pesa kwa niaba yao! inaitwa KAMP!!
wakiangalia wanalipa wasanii au ni tutengeza top 10 na 20 story inatimia kwa chart!!!
vingesaidia kwa nn wamepanga hivyo
kufanya kazi kwa bidii na maarifa.hapo vipi?vingesaidia kwa nn wamepanga hivyo