Dodomakwe2
Member
- Aug 3, 2015
- 21
- 4
Keep it up dangote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapo sawa duu kweli mziki unalipa sasa hivi sijui na mm niachie single yangu ???
Wanawalipa mkuu kutokana na nyimbo yko inavyopata airplay mziki unalisa hivi sasa mkuu
Wasanii wa Nigeria wana kila sababu ya kuwapiga gap kimapato wasanii wa Tanzania sehemu zingine Afrika! Kwanza kule kwao kuna makampuni makubwa sana kimauzo na mapato kulinganisha na TZ kwahiyo hata endorsement zake zinakuwa zimeshiba ukizilinganisha na TZ! Aidha, Wanigeria wamesambaa sana duniani tena kwa wingi kwahiyo mtu kama WizKid au Davido akienda kupiga show mahali kama UK ana uwezo wa kupata wahudhuriaji zaidi ya mara 5 ya msanii yeyote kutoka Tanzania kama sio Afrika! Hapo hatujataja population ya Nigeria ndani ya Nigeria! Chukulia anayeongoza mapato ya Caller Tunes kwa Tanzania yenye wakazi takribani 50 million angepata sh. ngapi kwa nchi kama Nigeria yenye watu karibu 200 million! Kwahiyo hao jamaa waache tu hivyo hivyo....duu sawa ila itakuwa na manufaa zaidi kwa watanzania mana msanii kama wiskid au davido 5m ananunua viatu yote hiyo ndogo kwao pesa yetu haina thamani
Wametumia vigezo gani kujua aisee kuwa per show msanii analipwa shilingi ngapi au? Lady wanjara mhhh