List ya wasanii wanaoingiza pesa nyingi Africa Mashariki

List ya wasanii wanaoingiza pesa nyingi Africa Mashariki

Wanawalipa mkuu kutokana na nyimbo yko inavyopata airplay mziki unalisa hivi sasa mkuu

hebu weka tz data na jina ya chama/website hapa tuone wanalipa hela ngapi. kenya wanalipa baada ya miezi tatu-MUSIC COPYRIGHT SOCIETY OF KENYA-kutumia log za tv na redio. tanzania vipi? ndiyo ukaona diamond aliingiza hela ya kenya around Ksh 302,000 april to may 2015. na ataendelea kuzipata kila quarter kulingana na airplay!!


 
duu sawa ila itakuwa na manufaa zaidi kwa watanzania mana msanii kama wiskid au davido 5m ananunua viatu yote hiyo ndogo kwao pesa yetu haina thamani
Wasanii wa Nigeria wana kila sababu ya kuwapiga gap kimapato wasanii wa Tanzania sehemu zingine Afrika! Kwanza kule kwao kuna makampuni makubwa sana kimauzo na mapato kulinganisha na TZ kwahiyo hata endorsement zake zinakuwa zimeshiba ukizilinganisha na TZ! Aidha, Wanigeria wamesambaa sana duniani tena kwa wingi kwahiyo mtu kama WizKid au Davido akienda kupiga show mahali kama UK ana uwezo wa kupata wahudhuriaji zaidi ya mara 5 ya msanii yeyote kutoka Tanzania kama sio Afrika! Hapo hatujataja population ya Nigeria ndani ya Nigeria! Chukulia anayeongoza mapato ya Caller Tunes kwa Tanzania yenye wakazi takribani 50 million angepata sh. ngapi kwa nchi kama Nigeria yenye watu karibu 200 million! Kwahiyo hao jamaa waache tu hivyo hivyo....
 
Back
Top Bottom