pwilo
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 10,913
- 13,876
Wakuu habari zenu: Hii ni list ya wasanii wanaongiza pesa nyingi Africa Mashariki..
1.Daimond
2.Saut sol
3.christina shusho
4.Ali kiba
5.Bahati
6.Lady wanjara
7.jose chameleone
8.Bahati
Ila mimi naona kama hawakufanya uchunguzi vizuri haswa kwa jose chameleon hakustahili kuwa hiyo nafasi alitakiwa awe juu zaidi.
Au mnaonaje wakuu maoni na mtazamo wenu?!
=========
Mtandao wa Ghafla.co.KE wa Kenya unaosimamia hatimiliki umetoa list ya wasanii 10 wanaoingiza mkwanja mrefu zaidi Kenya ambapo baadhi ya wasanii wa Bongo wamefanikiwa kuingia kwenye orodha hiyo..
Namba moja imeshikwa na Diamond, Sauti Sol, Christina Shusho, Ali Kiba, Bahati, Lady Wanjara, Chameleone, Rose Muhando, Willy Paul na Koffi Olomide.
Chanzo: MillardAyo.com
=====
1.Daimond
2.Saut sol
3.christina shusho
4.Ali kiba
5.Bahati
6.Lady wanjara
7.jose chameleone
8.Bahati
Ila mimi naona kama hawakufanya uchunguzi vizuri haswa kwa jose chameleon hakustahili kuwa hiyo nafasi alitakiwa awe juu zaidi.
Au mnaonaje wakuu maoni na mtazamo wenu?!
=========
Mtandao wa Ghafla.co.KE wa Kenya unaosimamia hatimiliki umetoa list ya wasanii 10 wanaoingiza mkwanja mrefu zaidi Kenya ambapo baadhi ya wasanii wa Bongo wamefanikiwa kuingia kwenye orodha hiyo..
Namba moja imeshikwa na Diamond, Sauti Sol, Christina Shusho, Ali Kiba, Bahati, Lady Wanjara, Chameleone, Rose Muhando, Willy Paul na Koffi Olomide.
Chanzo: MillardAyo.com
=====
Music Copyright Society of Kenya (MCSK): 60% OF TOP TEN OVERALL SPOTS TAKEN BY INTERNATIONAL ARTISTS, OUR MEDIA HOUSES NEED TO PLAY MORE OF KENYAN SONGS.
It was all good news for the MCSK and its members as the Society declared its distribution at the same week when the Kenya Copyright Board ( KECOBO ) was renewing the MCSK license . This marked improved performance by MCSK which complied with the terms for renewal of its license and key amongst the terms was condition on increased distribution to members.
The MCSK has declared the delayed June 2015 SCIENTIFIC PPP distribution of kshs 30.3 million. The declaration relates to the revenue collected between April to June 2015 and has been apportioned using log sheets obtained from the new monitoring system " VERICAST " as adopted by MCSK.
Secular music has regained the top position which had previously been dominated by Gospel music with SAUTI SOL emerging as the highest earners and most popular group during the period April to June 2015 . Closely following SAUTI Sol was BAHATI who emerged as number two and reaffirmed the presence of Gospel music with WILLY PAUL at number 4.
At number three was vernacular singer LADY WANJA who is a sister to the LATE QUEEN JANE with another vernacular singer MUM CHEROP rounding up the top five highest earners and most popular artistes based on air play logs in Kenya for the period APRIL to JUNE 2015.
The full list of the top ten LOCAL ARTISTS is as follows;
1) Sauti Sol
2) Bahati
3) Lady Wanja
4) Willy Paul
5) Mum CHEROP
6) H-Art The Band
7) Gloria Muliro
8) Rabbit " King Kaka "
9) John De Mathew
10) Hellena Ken
There were impressive NEW ENTRANTS into the top ten list such as BAHATI , Willy Paul , Mum CHEROP , H-Art the band , Rabbit and Hellena Ken. Further below at number 16 was KRISTOFF who was a NEW ENTRANT into the top 20 list.
In the INTERNATIONAL CATEGORY;
1. DIAMOND
2. Christina Shusho
3. Ali Kiba
4. Jose Chameleon
5. Rose Muhando
MCSK noted with concern that a majority of the radio and television stations were broadcasting more of foreign works against the Government directive for broadcasting of more local works.
This lead to the highest earner being non-Kenyan (DIAMOND) and taking home Kshs 352,807/- for the three month period from April to June 2015, which was more than the Kenyan highest earners.
The combined top ten highest earners list including foreign works only had FOUR Kenyan musicians featuring in this list as follows:
COMBINED LOCAL AND FOREIGN TOP TEN LIST
1) DIAMOND
2) SAUTI SOL (Kenyan)
3) CHRISTINA SUSHO
4) ALI KIBA
5) BAHATI (Kenyan)
6) LADY WANJA (Kenyan)
7) JOSE CHAMELEON
8) ROSE MUHANDO
9) WILLY PAUL (Kenyan)
10) KOFFI OLOMIDE
MCSK would wish to encourage more radio and television stations to support local musicians and broadcast the local musicians works so that we can build our local industry even more. It is disheartening to see that only FOUR of our Kenyan musicians were within the top ten list of radio and television stations IN KENYA.
MCSK would however wish to thank all Kenyan radio and television stations for making remittances to MCSK for the broadcast royalties.
Kumbuka Diamond alitengeza Kshs 352, 807 kwa mwezi mitatu April kwenda June 2015. Au Tshs 6,358,947 sio kwa show ni hati miliki kupitia wimbo kucheza redio na Tv za Kenya.
My! Good structures will make very rich wasanii sector zote na usanii utalipa. Kile sijui ni kama redio na Tv Tanzania wanalipa kwani hivi sasa nao Kenya Dj wataanza kulipa kucheza kazi za wasanii kwa show!