Haaaaa kunasehemu nimewekeza kausafiri kangu nami nasubili za korosho nikamalizie na korosho zenye kama zinamkosi >> kichefuchefeeh inavyoonesha inakuuma sana jirani yako kukunyima lift ya gari
ok anyway ombea mimi niuze korosho huku nikipata nitanunua gari nikuachie uendeshe tu ili jirani yako aende mbinguni
kuishi kwa viwango vinavyopatana na BIBLIA kumezuia kuwa na misisimamo ya kisiasa sababu Ni moja wafalme na watawala wa dunia hii hawawezi kuleta amani na furaha maishani hata Kama wakijitahidi kwa nguvu zote hawataweza kumaliza matatizo.lakini nikwambie tu ukweli Magufuli anapatana Zaid na akili kwa nyakati hizi na Ni faida kuwa naye.kwa upande wa BIBLIA kitabu Cha MHUBIRI Ameeleza jinsi mfalme anavyotakiwa kuhangaika kwa ajili ya ardhi yake na ndio kitu ambacho amekionyesha Magufuli lakini wachache mnapotoshaISIS
Ndege JOHN
Cocochanel
Hawaendi mbinguni hawa wanashabikia wachawi sana
kuishi kwa viwango vinavyopatana na BIBLIA kumezuia kuwa na misisimamo ya kisiasa sababu Ni moja wafalme na watawala wa dunia hii hawawezi kuleta amani na furaha maishani hata Kama wakijitahidi kwa nguvu zote hawataweza kumaliza matatizo.lakini nikwambie tu ukweli Magufuli anapatana Zaid na akili kwa nyakati hizi na Ni faida kuwa naye.kwa upande wa BIBLIA kitabu Cha MHUBIRI Ameeleza jinsi mfalme anavyotakiwa kuhangaika kwa ajili ya ardhi yake na ndio kitu ambacho amekionyesha Magufuli lakini wachache mnapotosha

Hujui unalosema.hakunaga kwenda mbinguni. ipo hivi dunia itabadilishwa na kuwa paradiso ambapo waadilifu watakuwa wakiishi milele na waovu watapotezwa milele wasionekane tena.mbinguni watakwenda watu Fulani.mimi sitakwenda mbinguni.Haya
Bado Coco na ISIS tunawasubiri tuunganishe mawazo yetu
Ila bado hamuendi mbinguni
basi sawa mkuu ila hapo ndipo pakujua jirani yako kakusaidiaje maana asingelikuwa si mchoyo wa lift basi usingelikuwa na wazo la kununua gariHaaaaa kunasehemu nimewekeza kausafiri kangu nami nasubili za korosho nikamalizie na korosho zenye kama zinamkosi >> kichefuchef
Haya bwanabasi sawa mkuu ila hapo ndipo pakujua jirani yako kakusaidiaje maana asingelikuwa si mchoyo wa lift basi usingelikuwa na wazo la kununua gari
basi mimi naombea mpango wa korosho ukubali wewe upate pesa ununue gari ili jirani yako aende mbinguni
Wooooote tunaenda isipokuwa jiwe na Bashite!
kuishi kwa viwango vinavyopatana na BIBLIA kumezuia kuwa na misisimamo ya kisiasa sababu Ni moja wafalme na watawala wa dunia hii hawawezi kuleta amani na furaha maishani hata Kama wakijitahidi kwa nguvu zote hawataweza kumaliza matatizo.lakini nikwambie tu ukweli Magufuli anapatana Zaid na akili kwa nyakati hizi na Ni faida kuwa naye.kwa upande wa BIBLIA kitabu Cha MHUBIRI Ameeleza jinsi mfalme anavyotakiwa kuhangaika kwa ajili ya ardhi yake na ndio kitu ambacho amekionyesha Magufuli lakini wachache mnapotosha
hakunaga kwenda mbinguni. ipo hivi dunia imebadilishwa na kuwa paradiso ambapo waadilifu watakuwa wakiishi milele na waovu watapotezwa milele wasionekane tena.mbinguni watakwenda watu Fulani pekee.mimi sitakwenda mbinguniKwa hili ndiyo huendi kabisa
We duniani hubaki na mbinguni huendi tafuta sehemu nyinginehakunaga kwenda mbinguni. ipo hivi dunia imebadilishwa na kuwa paradiso ambapo waadilifu watakuwa wakiishi milele na waovu watapotezwa milele wasionekane tena.mbinguni watakwenda watu Fulani pekee.mimi sitakwenda mbinguni
Nini hiki umeandika.kajifunze kweli za kiroho zitakupa mwanga kidogo juu ya ile ahadi ya thamani ambayo ilitolewa na MunguWe duniani hubaki na mbinguni huendi tafuta sehemu nyingine
Yupo kwenye list huyoAmekosa nini
Mbingu ipi?Cha kushangaza mbinguni ataenda eti