List ya watu ambao hawaendi mbinguni..

List ya watu ambao hawaendi mbinguni..

eeh inavyoonesha inakuuma sana jirani yako kukunyima lift ya gari

ok anyway ombea mimi niuze korosho huku nikipata nitanunua gari nikuachie uendeshe tu ili jirani yako aende mbinguni
Haaaaa kunasehemu nimewekeza kausafiri kangu nami nasubili za korosho nikamalizie na korosho zenye kama zinamkosi >> kichefuchef
 
ISIS

Ndege JOHN

Cocochanel

Hawaendi mbinguni hawa wanashabikia wachawi sana
kuishi kwa viwango vinavyopatana na BIBLIA kumezuia kuwa na misisimamo ya kisiasa sababu Ni moja wafalme na watawala wa dunia hii hawawezi kuleta amani na furaha maishani hata Kama wakijitahidi kwa nguvu zote hawataweza kumaliza matatizo.lakini nikwambie tu ukweli Magufuli anapatana Zaid na akili kwa nyakati hizi na Ni faida kuwa naye.kwa upande wa BIBLIA kitabu Cha MHUBIRI Ameeleza jinsi mfalme anavyotakiwa kuhangaika kwa ajili ya ardhi yake na ndio kitu ambacho amekionyesha Magufuli lakini wachache mnapotosha
 
Haya

Bado Coco na ISIS tunawasubiri tuunganishe mawazo yetu

Ila bado hamuendi mbinguni

Tena kitabu cha mhububiri kuna sehemu kinasema pesa ni jawabu la matatizo yote mhubiri 10:19
 
Haya

Bado Coco na ISIS tunawasubiri tuunganishe mawazo yetu

Ila bado hamuendi mbinguni
Hujui unalosema.hakunaga kwenda mbinguni. ipo hivi dunia itabadilishwa na kuwa paradiso ambapo waadilifu watakuwa wakiishi milele na waovu watapotezwa milele wasionekane tena.mbinguni watakwenda watu Fulani.mimi sitakwenda mbinguni.
 
Haaaaa kunasehemu nimewekeza kausafiri kangu nami nasubili za korosho nikamalizie na korosho zenye kama zinamkosi >> kichefuchef
basi sawa mkuu ila hapo ndipo pakujua jirani yako kakusaidiaje maana asingelikuwa si mchoyo wa lift basi usingelikuwa na wazo la kununua gari
basi mimi naombea mpango wa korosho ukubali wewe upate pesa ununue gari ili jirani yako aende mbinguni
 
Haya bwana
 
kuishi kwa viwango vinavyopatana na BIBLIA kumezuia kuwa na misisimamo ya kisiasa sababu Ni moja wafalme na watawala wa dunia hii hawawezi kuleta amani na furaha maishani hata Kama wakijitahidi kwa nguvu zote hawataweza kumaliza matatizo.lakini nikwambie tu ukweli Magufuli anapatana Zaid na akili kwa nyakati hizi na Ni faida kuwa naye.kwa upande wa BIBLIA kitabu Cha MHUBIRI Ameeleza jinsi mfalme anavyotakiwa kuhangaika kwa ajili ya ardhi yake na ndio kitu ambacho amekionyesha Magufuli lakini wachache mnapotosha

Kwa hili ndiyo huendi kabisa
 
Kwa hili ndiyo huendi kabisa
hakunaga kwenda mbinguni. ipo hivi dunia imebadilishwa na kuwa paradiso ambapo waadilifu watakuwa wakiishi milele na waovu watapotezwa milele wasionekane tena.mbinguni watakwenda watu Fulani pekee.mimi sitakwenda mbinguni
 
We duniani hubaki na mbinguni huendi tafuta sehemu nyingine
 
Nini hiki umeandika.kajifunze kweli za kiroho zitakupa mwanga kidogo juu ya ile ahadi ya thamani ambayo ilitolewa na Mungu
 
Back
Top Bottom