kuishi kwa viwango vinavyopatana na BIBLIA kumezuia kuwa na misisimamo ya kisiasa sababu Ni moja wafalme na watawala wa dunia hii hawawezi kuleta amani na furaha maishani hata Kama wakijitahidi kwa nguvu zote hawataweza kumaliza matatizo.lakini nikwambie tu ukweli Magufuli anapatana Zaid na akili kwa nyakati hizi na Ni faida kuwa naye.kwa upande wa BIBLIA kitabu Cha MHUBIRI Ameeleza jinsi mfalme anavyotakiwa kuhangaika kwa ajili ya ardhi yake na ndio kitu ambacho amekionyesha Magufuli lakini wachache mnapotosha