Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Unaweza kuthibitisha mbinguni kupo?Tusaidiane kuwataja watu ambao hawawezi kwenda mbinguni na sababu kwanini hawataenda mbinguni😀😀.
Mtaje hata kama huyo mtu yupo mtaani kwenu,kazini,kiongozi wako..nk
Mimi naanza na
1-uncle mshana jr...huyu hawezi kwenda mbinguni kwasababu ni mshirikina sana
2-kiranga... Huyu pia hawezi kuingia mbinguni hata akipewa offer ya kuingia mbinguni na akikuta mlango upo wazi,atamuuliza Mungu ninauhakika gani kama hapa ndio mbinguni atapigwa kwenzi moja atakufa tena..
Unaweza kuthibitisha mbinguni kutakuwepo?
Unaweza kuthibitisha kuna watu watakwenda huko mbinguni?
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?