List ya watu ambao hawaendi mbinguni..

List ya watu ambao hawaendi mbinguni..

Jirani yangu mimi hapa nyumbani tunafanya kazi mtaa mmoj huko mjini ye anagari basi kila asubuhi anajinunisha ili nisimwombe lifti huyu haendi mbinguni. Na siku nikikuta yupo mbinguni ntagombana na mrinzi wa getini
 
Jirani yangu mimi hapa nyumbani tunafanya kazi mtaa mmoj huko mjini ye anagari basi kila asubuhi anajinunisha ili nisimwombe lifti huyu haendi mbinguni. Na siku nikikuta yupo mbinguni nagombana nae sana mrinzi wa getini


Mkuu imeandikwa usitamani mali ya jirani yako...sasa wewe na jirani yako wote hamuendi mbinguni
 
Mimi sitaenda mbinguni maana shetani na yeye ana nguvu.
 
Mkuu imeandikwa usitamani mali ya jirani yako...sasa wewe na jirani yako wote hamuendi mbinguni
Mi naenda sina tatizo tena wanaweza kunipa rist ya majina ya wataoingia niwe nahakiki. Ila huyu jirani jina lake lazima ntafutilia mabali
 
Hahahahahaaaa daaaah hapo kwa kiranga nimecheka sana.......

Yote kwa yote huna uwezo wala mamlaka takumtambua ataeingia mbinguni wala moton
 
Mi naenda sina tatizo tena wanaweza kunipa rist ya majina ya wataoingia niwe nahakiki. Ila huyu jirani jina lake lazima ntafutilia mabali

Na hichi kipindi cha mvua anakunyima lifti kwakweli haendi mbinguni
 
Namsikiaga nyie watoto mnanichafulia gari leo siwabebi " duh najiongeza nakunja suruali nasepa
eeh inavyoonesha inakuuma sana jirani yako kukunyima lift ya gari

ok anyway ombea mimi niuze korosho huku nikipata nitanunua gari nikuachie uendeshe tu ili jirani yako aende mbinguni
 
Back
Top Bottom