Savimbi Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2011
- 6,818
- 9,183
Mpoki Standup ameanza baada ya kuzinguana na IPP,Mpoki ni MC tu sema anachombeza chombeza vimaneno.Utakua sio mzima mm nikimuonaga nazima na Tv yenyewe si bora ungesema Mpoki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpoki Standup ameanza baada ya kuzinguana na IPP,Mpoki ni MC tu sema anachombeza chombeza vimaneno.Utakua sio mzima mm nikimuonaga nazima na Tv yenyewe si bora ungesema Mpoki
Mc pilipili hamna kitu kila nikimsikiliza hachekeshi zaidi ya kudhalilisha watu wanaotumia magari aina ya vitz1. Dogo Pepe
2. MC Pilipili Washawasha
3.Omondi Erick
Binaadamu tumeumbwa tofauti mkuu kwangu mie namkubali.Mc pilipili hamna kitu kila nikimsikiliza hachekeshi zaidi ya kudhalilisha watu wanaotumia magari aina ya vitz
Vile umesema1. Pastor Kuria (Man Kush) - Kenya
2. Mammito - Kenya
3. Jemutai - Kenya
4. Teacher Mpamire - Uganda
5- Salvador mzee wa Ombokolo - Uganda
Honorable mentions
MC Tricky sana - Kenya
Erick Omondi - Kenya
Klint De drunk - Nigeria
Bahati mbaya sana, Tanzania hajawahi kutokea mtu akanichekesha
1. Katt Williams
2. Chris Rock
3. Eddie Griffin
Hawa hatari unapata comedy na knowledge.
Wengne
4. Kevin Hart
5. Michel Blackson
6. Sommore queen of comedy.
7. Bernie mac
8. Steve Harvey
9. Rusell Peter
10. Dave chappelle.(sipendi anavyo deliver)
11. Travoh noah
Ana chekesha sana Sema jinsi anavyowasilisha vichek3sho vya hainivutii hata mm Kevin wa kawaida sanaYaani umewataja hao halafu the living legend Dave Chappelle umemuweka namba 10? Yaani huyo Kevin Hart stand up set zake simalizi hata dakika 2 lazima nihame me chanel.
Ana chekesha sana Sema jinsi anavyowasilisha vichek3sho vya hainivutii hata mm Kevin wa kawaida sana
mkuu ukiacha set zake fupu za youtube wapi naweza pata content zake nyingi zaidiKevin Hurt kapigwa sana promo mpaka kufikia pale alipo, lakini sio one of my favourite. Dave Chappelle is a story teller, napenda connection yake audiences, halafu haogopi anasema chochote. I love him.
mkuu wewe inaonyesha ni mdau mkubwa mno wa churchill show. mi pia nawakubali mno wale jamaa vey creative1. Pastor Kuria (Man Kush) - Kenya
2. Mammito - Kenya
3. Jemutai - Kenya
4. Teacher Mpamire - Uganda
5- Salvador mzee wa Ombokolo - Uganda
Honorable mentions
MC Tricky sana - Kenya
Erick Omondi - Kenya
Klint De drunk - Nigeria
Bahati mbaya sana, Tanzania hajawahi kutokea mtu akanichekesha